mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
ya kweli haya MK ?
Tetesi nilizozipata hivi karibuni ni kwamba baadhi ya majaji wa bongo star search wameujutia uamuzi wao wa kukubali kuwa kura za mashabiki ndio zitakuwa muamuzi wa mwisho,na si maamuzi ya majaji,ukweli ni kwamba kwenye kabinet ya majaji kulikuwa na baadhi yao waliopenda ile tuzo iende kwa mtu ambaye walikuwa wameshamuandaa,lakini endapo maamuzi ya majaji yangechukua nafasi naamini kabisa pale diamond pasingekalika,poleni sana majaji na sera zenu za ukandamizaji,naomba hizi sera za kura zidumishwe hadi kwenye ma miss.Mwisho nampongeza sana bwana Pascal Cassian kwa kuibuka mshindi wa haki!!!
ya kweli haya MK ?
Haya ni majungu, acheni hizo Ritha toka mwazo alisha jua Kevin sio mshindi. Kwa walio fuatilia watakua wanaua kabisa kuwa ila siku baada ya show waliku wanaoneysha idadi ya kura , hakuna siku hata moja Kevin akaonekana ana kura nyingi ,sasa iweje eti Kevin aandaliwe wakati matokeo ya Kura tulikua tuna yaona kila siku?
Halafu ile sio show ya Ritha kama yake pekee ,ile ina wadhamini wakubwa kama VOdacom na TBL , wote hao sio wajinga kumuachia Ritha ajiamulie anavyotaka sababu eti yeye ni exective producer.
Watu wengi ni wa kwanza kulalamika wakati ukiwauliza kama walivote utakuta hakuna hata mmoja aliye vote .
Kuhusu suala la Misoji Nkwabi kwamba alipewa, Kwanza kabisa Misoji ali perfrm bonge la nyimbo " I will always love u" na kuiimba vizuri sana kiasi cha watu wote kumkubali, na pia, kura zote zilikua zinaoneyshwa na mara zote Misoji alikua anaongoza,
Naomba muwe na uhakika na manacho sema.

shkamoo Firstlady1
Ni ya kweli kabisa Firstlady, ndo maana siku ile Master jay alisikitika sana kuona kelvin ana kura ndogo sana, kila mara alikuwa anatikisa kichwa.
Majaji walitumia siku ile kuhitimisha au ni mapenzi binafsi ya nyie watazamaji mkaja na matokeo yenu ukimbini kuwa Pascal ndo mshindi.
Nilishangaa supa staa AY alivyo panda jukwaani alitegemea atashangiliwa watu ziiiiiiiiiiii wanamwangalia tu dah kila akijaribu kukonga nyoyo za watu lakini wapi.
yuko wapi Misoji? yuko wapi Jumanne wote wamesahaulika. lakini mtaona pascal atatoka
si ndo maana mm iwa najiuliza haya mashindano lengo lake haswa ni nn? Maana wakitoka huko ndo basi nikagundua kuwa mashindao haya ni ya kukalili nyimbo na si ubunifu {creativity} wa mtu