Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Wakulungwa....

Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....

View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....

Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......

View attachment 2082329

Nasinzia nikikuwaza ooohhh....

Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....[emoji7][emoji7]

Kasinde Matata.
Nakuona kwa mbaaaaali nikipita mtaani kwenu
 
Bibi umepandishwa vilimani Leo? Hongera Kwa kunyoosha miguu na mgongo.
 
Wakulungwa....

Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....

View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....

Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......

View attachment 2082329

Nasinzia nikikuwaza ooohhh....

Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍

Kasinde Matata.

Ina maana wewe hujawahi kutendwa?🤔🤔 Siku zote wewe ni raha tu kwenye mapenzi😘😘
 
Ina maana wewe hujawahi kutendwa?🤔🤔 Siku zote wewe ni raha tu kwenye mapenzi😘😘

Nikisema sijawahi kutendwa ntakuwa muongo...

Mimetendwa sana tuu ila haina mashiko kuhifadhi historia mbaya.....

Kasie Mahaba.
 
Hatariiii lakini salamaaa....
Unazeeka n utamu wako....[emoji39][emoji116]
JamiiForums1731429705.jpg
 
Back
Top Bottom