Naskia ukitumia SMARTPHONE unakuwa mwanaume wa Dar.

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Na hao watu wanaojiita wamikoani sijui tatizo nini?
Kuna watu saivi mtaani hawali chips vibandani
Kuna watu saivi kuoga Mara moja kwa wiki.
Kuna watu saivi Maisha yao yameharibiwa na hii misemo ya watu wasio kaa dar.
At kufanya kitu flani ni chakimama.

Sasa hii Mpya na Kali yao nimeisoma mahali ati ukimiliki smartphone au "simujanja" unakuwa ni mwanaume wa dar.

Sasa wanaume wa mikoani mnatumia simu gani?
 
Tunatumia zile za Doleeeee
 
Itakua wanatumia za mezani [emoji23][emoji23]
 
NIPO HAPA BARABARANI TUNAMBEMBELEZA MWANAUME WA DAR ANALIA AMETUMIA SM YA BUTTON AMENG'OA KUCHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…