Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

Nasoma chuo kikuu ivi nifanye nini kuhusu hili hapa?

pia nahisi mambo ya monitoring and evaluation yatakua within reach ,bila kusahau issue za data management ambazo zinalipa sana. Finally elimu ni elimu mzee hakuna elimu isiyokua na rewards.by the way zile elimu zoote pale chuo ambazo hazieleweki huku mtaani ndo zinalipa vizuri. It's a matter of time hata ukisoma utamaduni na sanaa unaweza kuangukia unesco au ubalozini ukashangaa. Just relax and enjoy your assignments, quizzes, tests and surprised tests and leave the rest for the future to take care. Ukitanguliza pesa then elewa kwamba you are killing your inborn talents silently and smoothly.
mungu akupe nini kwa ushauli mzuri ivyo! Ubarikiwe
 
Nyie mabingwa wa matusi eti mlisomea chuo gani hayo matusi, na mimi nataka angalau certificate tu.
 
Kupost kitu humu haimaanishi wewe ndie mlengwa haswa! Unaweza ukapost kwakuwa umeambiwa na mtu upost kitu fulani kwasababu fulani, eidha unayempostia hajajiunga jf au hana access ya internet. So tusishangae kuona watu wanakuja na thread tofauti tofauti ambazo hazina uhusiano. ASANTENI!
 
Hii ndo JF bana, hakuna kuuma maneno! Ukija na swagga za vijijini kama za huyo mbulula anayejifanya yupo university ni kuumbuliwa tu. SAFI SANA MEMBERS!
 
oya dogo utakuwa kwenye kitengo chA TAKWIMU MBALIMBALI HAPA NCHINI(STATISTICS),WEE KOMA 2 UTAFANIKIWA!
 
Nilitaka kushangaa mwl.wa taboraboys aweze moshi huu, tuombe radh kwa wana taboraboys huna kipaj wewe lala huko .
 
Huna kipaji! Omba radhi kwa walimu wa taboraboys, unaweka mambo ya ajabu, kilaza wewe fiv iii.25 , formvi ,iii._17
 

quote_icon.png
By Asprin

Unapokuwa mwongo unapaswa uwe na kumbukumbu we dogo.... Haya si umeyaandika wewe??



Asprin umetisha!!!!!!!!!!!
Ila dogo anaonyesha jinsi gani uwezo wake ulivyo mkubwa sana kwenye kufikiria pafupi!!!!!
 
Back
Top Bottom