Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

unaweza kuta alichelewesha chakula au aliwaacha ng'ombe wakala shambani kwa watu.

Kwani wana sababu za maana basi?

Laiti ingekuwa hivi, jamaa walishaachana kitambo! Ni mawivu ya kijinga tu.
Akipatikana nitaomba japo nipewe nafasi ya kumfinya !
 
tatizo sasa hataburuzwa kama alivyomburuza mwenzie, akiburuzwa vibaya atapigwa vibao viwili-vitatu, sheri msumeno.

na yeye aburuzwe kotini ili aone uzuri wa kuwaburuza wenzao..
 
Bila shaka wa jina wangu (Nasra) alilalamika kuwa mumewe amepunguza upendo kwake, ndipo mumewe akaamua kumuonyesha upendo kwa vitendo
 

Hiyo itakuwa ni nafuu kwake kwani utampa nafasi ya kuomba rufaa akiwa na nafasi kubwa ya kushinda!

Apewe fair trial ili adhabu atakayoipata aitumikie kisawa sawa bila uchochoro wa kuchomokea!

kama alicheat namuunga mkono msela kwa maamuzi yake but otherwise tat is too harsh a punishment

Hivi mtu aki-cheat anastahili adhabu ya kusagwa sagwa kama mahindi? Kama ni kweli basi wengi wetu tungekuwa walemavu wa kutisha....!

Au tusema adhabu za namna hiyo ni stahili ya wanawake tu...???!!

Ni wivu wa kijinga tu. Inasemekana hawa wawili walikuwa wameshatengana muda mrefu. Kwa hiyo hakuna swala la cheating hapo. Kila mmojawao alikuwa huru na mambo yake.

Basi huyo mwanamume atakuwa alipigwa ki-boot na roho inamuuma. Vinginevyo anamfuata fuata nini mama wa watu wakati walishabwagana??
 
Inabidi kukamata korodani zake na kuzipiga shoti kabla ya kuzibinya na mkasi wa kukata fence!


Hiyo haiwezekani bwana...sana sana atakuwa anapelekwa mahakamani kwa defenders na ving'ora utadhani ni King!!
 
Laiti ingekuwa hivi, jamaa walishaachana kitambo! Ni mawivu ya kijinga tu.
Akipatikana nitaomba japo nipewe nafasi ya kumfinya !


Mhh...pole sana,

Hapa itabidi baadhi yetu tukanunue bullet proof jackets kwani tunaweza kuwa next in a queue!!!

Babu DC!!
 
Inauma jamani.... Dah! Hayo ndio yale ambayo yametoka, wanandoa wengine wanaishi kama
wapo hell na hawaondoki.... Hii story imenisikitisha sana. Sina hata la kusema...
 
Inauma jamani.... Dah! Hayo ndio yale ambayo yametoka, wanandoa wengine wanaishi kama
wapo hell na hawaondoki.... Hii story imenisikitisha sana. Sina hata la kusema...

Tuliangalia hiyo habari kwenye TBC1 na kubaki vinywa wazi....Yaani unajikuta mtu mzima machozi yanakutoka!!

Nadhani hakuna kitu kibaya kama mwisho wa ndoa....

Labda ni laana kwa sababu Mungu alituumba tudumu kwenye ndoa na sasa tunajifanya vichaa na kuzivunja, tena wakati mwingine kwa sababu za kipuuzi!!

Babu DC!!
 
huyu nasra nae anakilanga....umenigonga na kuniburuta siku ya kwanza...ya pili... ya tatu....bado nipo tu yupo kwa mume?jaman hata km ni kufundwa kwenu kumvumilia mume hii sasa too much, tuangalie na vya kuvumilia.
 
huyu nasra nae anakilanga....umenigonga na kuniburuta siku ya kwanza...ya pili... ya tatu....bado nipo tu yupo kwa mume?jaman hata km ni kufundwa kwenu kumvumilia mume hii sasa too much, tuangalie na vya kuvumilia.

Sijui kama nimekuelewa, ila kwa sasa Nasra yuko Bugando hospitali anaendelea na matibabu. Pia kuna mdau kachangia kuwa Nasra na mume wake walishatengana kabla ya kumgonga na gari.

Babu DC!!!
 
Wakurya wataendelea kuwa wakatiri ktk jamii zetu kisa wivu wa mapenzi
 

Mhhhhhhh, kuhusu these people mi sinaga la kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…