Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

tatzo le2 akna dada 2kiona m2 mkimya 2nataka mpanda kichwan afu hakuna k2 knauma km u r quiet stil then sm1 is putn the finger on yo eye, ndo mana jamaa kafkia uamuz huo n cnc nasra kanususurika heshma itakuepo chacha

Sawa,

Mbona sie wengine tumeamua kuvuta miaka na tunakutana na hayo maneno ya akina mama kila siku iendayo kwa Mungu?

Bado siamini kama kuna sababu ya kumuua mwenzio au kumpa adhabu ya kikatili kama aliyopewa Nasra......!!

Babu DC!!
 
Huyo Nasra ni Jini! Anastahili yalompata! Kwani bwana alipokosea na kutembea nje,yeye Nasra hajawahi kweli? Na ana utakatifu gani wa kulipa kisasi kwa kufanya uzinzi waziwazi na mume ilishamwomba msamaha? Na amedhihirisha wazi kuwa ni mzinzi pale alipotamka kuwa watoto si wa mumewe! Bora angekufa kabisaa!

Kwa hiyo adhabu stahiki ya mtu aliyetoa matusi ni kifo?

Babu DC!!
 
tatzo le2 akna dada 2kiona m2 mkimya 2nataka mpanda kichwan afu hakuna k2 knauma km u r quiet stil then sm1 is putn the finger on yo eye, ndo mana jamaa kafkia uamuz huo n cnc nasra kanususurika heshma itakuepo chacha
Naona umeandika kama Nasra....

Mie namshangaa huyo mbwira, alikuwa wapi siku zote asimrestishe in Piis huyo Nasra???
 
Mie siku zote huwa naamini mwanamke aliyeko kwenye ndoa anajiheshimu, anamuheshimu mumewe, anawaheshimu ndugu wa mume na wake pia, ukikuta mwanamke kabadilika mara nyingi chanzo ni mume wake, wanaume wanachangia kwa asilimia nyingi kubadilisha tabia za wake zao,

matatizo yanapotokea ndani ya ndoa sio wote wanaweza kuyamaliza kwa njia za busara babu DC, angalia mf. wa Nasra, kamfumania mumewe na njia pekee aliyoona itamwondolea machungu yake ni kulipa kisasi kwa kuwa na mwanaume mwingine, simlaumu manake hapo ndipo akili na maarifa yake yalipoishia. Mwingine labda angeamua kulewa wakati hapo kabla hakuwahi kutumia kilevi chochote, mwingine labda wangekaa wayazungumze then wasameheane na maisha yasonge... Hapa pia inabidi kumpata mume wa Nasra na kumuuliza ni kwanini aliamua kutoka nje ya ndoa yake... Usishangae pia akikwambia chanzo ni mke wake..

Babu DC ndoa zina siri nyingi usione milango na madirisha ukafikiri kuna amani sana!

Nasra alimkosea heshima mumewe, ila pia hakustahili kufanyiwa ukatili wa namna ile...ndoa ni ngumu babu DC, mie hata nashindwa nimtete yupi...

Utakuwa kwenye ndoa wewe Sweetlady na utakuwa umeona mengi.Umesema kila kitu.Cha msingi ni kuomba mungu akupe nafasi ya kukaa chini na kutafakari matatizo yako ya ndoa kabla ya kuchukua hatua yoyote.Wahusika wote kwenye ndoa tuna wajibu wa kuomba hilo.

Ubarikiwe sana Sweetlady
 
Aisee!

Kama hii stori ni ya kweli, ingekuwa mimi Nasra angeshakwenda kuzimu siku nyingi sana!

Huyu jamaa alikuwa mvumilivu sana bana!
Hakuna binadamu mwenye haki ya kumpeleka binadamu mwenzie kuzimu, afu mbona Nasra alivyomfumania mumewe hakumpeleka kuzimu?.,. Wote wawili wana makosa.

Nasra yeye amekosa maarifa ya jinsi ya kushughulikia tatizo lake lakini pia hiyo haimpi mumewe haki ya kumfanyia unyama ule...
 
Utakuwa kwenye ndoa wewe Sweetlady na utakuwa umeona mengi.Umesema kila kitu.Cha msingi ni kuomba mungu akupe nafasi ya kukaa chini na kutafakari matatizo yako ya ndoa kabla ya kuchukua hatua yoyote.Wahusika wote kwenye ndoa tuna wajibu wa kuomba hilo.

Ubarikiwe sana Sweetlady
Amina ndugu yangu!

Ubarikiwe pia.
 
Mie siku zote huwa naamini mwanamke aliyeko kwenye ndoa anajiheshimu, anamuheshimu mumewe, anawaheshimu ndugu wa mume na wake pia, ukikuta mwanamke kabadilika mara nyingi chanzo ni mume wake, wanaume wanachangia kwa asilimia nyingi kubadilisha tabia za wake zao,

matatizo yanapotokea ndani ya ndoa sio wote wanaweza kuyamaliza kwa njia za busara babu DC, angalia mf. wa Nasra, kamfumania mumewe na njia pekee aliyoona itamwondolea machungu yake ni kulipa kisasi kwa kuwa na mwanaume mwingine, simlaumu manake hapo ndipo akili na maarifa yake yalipoishia. Mwingine labda angeamua kulewa wakati hapo kabla hakuwahi kutumia kilevi chochote, mwingine labda wangekaa wayazungumze then wasameheane na maisha yasonge... Hapa pia inabidi kumpata mume wa Nasra na kumuuliza ni kwanini aliamua kutoka nje ya ndoa yake... Usishangae pia akikwambia chanzo ni mke wake..

Babu DC ndoa zina siri nyingi usione milango na madirisha ukafikiri kuna amani sana!

Nasra alimkosea heshima mumewe, ila pia hakustahili kufanyiwa ukatili wa namna ile...ndoa ni ngumu babu DC, mie hata nashindwa nimtete yupi...

Nakubaliana na wewe SL,

Tatizo langu ni adhabu aliyopewa Nasra au tunazotoa kwa makosa tunayotendewa!!

Kuna story ilitoka kwenye TV ambapo mwanamke alimfumania mume wake na kujidai hakuna neno. Ile mume kazubaa mwanamke alichukua gari na kumkanyaga mara nyingi tu hadi akawa kama chapati.

Je hiyo ni adhabu inayomfaa cheater au mtu yeyote aliyemkosea mwenzi wake kwenye ndoa?

babu DC!!
 
Tatizo huwa si tatizo bali kushughulikia tatizo ndo tatzo
 
Sawa,

Mbona sie wengine tumeamua kuvuta miaka na tunakutana na hayo maneno ya akina mama kila siku iendayo kwa Mungu?

Bado siamini kama kuna sababu ya kumuua mwenzio au kumpa adhabu ya kikatili kama aliyopewa Nasra......!!

Babu DC!!

Sawa babu DC,lakini kumbuka sisi sote ni binadamu na tu nauvumilivu uliopishana.Can you imagine unamkuta houseboy/mwanaume mwingine/ wako anakula kitumbua chako kwenye kitanda chako au wewe mkeo akukute sehemu kama hiyo na hosuegirl/mwanamke mwingine uta react vipi kwa kipindi hicho?

Nafikiri cha msingi ni kumuomba mungu kwenye ndoa zetu matatizo kama haya yasitukute au tupewe uvumilivu uliopitiliza kwani kuna vitu vya ajabu tunafanyiana sisi wanandoa utashangaa.
 
Hata ningelikuwa mimi hiyo ndo ilikuwa size yake unajua wanawake wanakera sana na maneno yao wanayoyacopy kwenye taarabu

Je ungekuwa wewe ndo umetendewa hivyo bado ungesema hayo? Au angekuwa ndugu yako ungesemaje?

Babu DC!!
 
Hii Ngumu kidogo

Ni kufanya maamuzi bila kufikiria

Nasra aliamini kuwa mumewe haweze kutembea na mwanamke mwingne (wrong assumption), ilivotyokea imemwathiri kiasi cha kufanya maamuzi aliyofanya

deep inside, anamtaka huyo mumewe...hayo matusi,ni maneno tu hata kwen kanga yapo. kama sio, asingemfata fata that way...huyo bwana hata kama anatemnea naye ama sure ni ile 'basi' tu

sasa basi wanahitaji nasaha wote wawili jinsi ya kukabiliana na hili

SL, popote ulipo nakutafuta.....
 
Nakubaliana na wewe SL,

Tatizo langu ni adhabu aliyopewa Nasra au tunazotoa kwa makosa tunayotendewa!!

Kuna story ilitoka kwenye TV ambapo mwanamke alimfumania mume wake na kujidai hakuna neno. Ile mume kazubaa mwanamke alichukua gari na kumkanyaga mara nyingi tu hadi akawa kama chapati.

Je hiyo ni adhabu inayomfaa cheater au mtu yeyote aliyemkosea mwenzi wake kwenye ndoa?

babu DC!!
Daaah! Inasikitisha kuona binadamu anageuka na kuwa na moyo kama wa mnyama....

Adhabu zinazotolewa mie naona hazistahili manake chukulia mke na mume wamebahatika kuwa na mtoto/watoto, hivi utawaelezaje watoto wakuelewe kuwa eti umemfumania baba/mama ndio mana ukaamua kumwadhibu kiasi hicho?..

Naamini kama mtu ataamua kuacha kuwa mbinafsi na kujali mtoto/watoto wake zaidi hawezi kuchukua maamuzi magumu ya kuua mwenzie kikatili....
 
Wanawake mara nyingi ukiwamwaga wao matusi yao kwamba hauwezi kazi joka la kibisa huna nguvu oh mara dushelele kama sigara kali,hv miaka yote hyo alikua haoni??
Kk hapo pa DUSHELELE na SIGARA KALI umeniacha stand, ila kilichotokea ndo hali halisi ya ndoa zilizokufa na matokeo yake kwa wengi ni kashfa nk, ila siwezi kumlaumu huyo mume kila uvumilivu una mwisho wake.
 
Hii Ngumu kidogo

Ni kufanya maamuzi bila kufikiria

Nasra aliamini kuwa mumewe haweze kutembea na mwanamke mwingne (wrong assumption), ilivotyokea imemwathiri kiasi cha kufanya maamuzi aliyofanya

deep inside, anamtaka huyo mumewe...hayo matusi,ni maneno tu hata kwen kanga yapo. kama sio, asingemfata fata that way...huyo bwana hata kama anatemnea naye ama sure ni ile 'basi' tu

sasa basi wanahitaji nasaha wote wawili jinsi ya kukabiliana na hili

SL, popote ulipo nakutafuta.....
Nipo hapa Kaizer, nihakikishie tu kuwa hunitafuti kwaajili ya kuniburuza na gari lol.
 
Hapo siongelei matusi,bali uzinzi alojisifia nao kuwa kamzalia watoto nje ya ndoa!
Afu unaeza kuta wala hakuna ukweli wowote, ni vile amepata maumivu makali moyoni sasa akaamua kuropoka hivyo ili angalau na huyo mumewe nae aumie kama yeye!

In short Nasra aliathiriwa mno na tukio la kumfumania mumewe, mahangaiko yote aliyoyafanya baada ya tukio ni katika kujipooza tu wala hakuwa anamaanisha kutoka ndani ya moyo wake!...ndio mana wala sio haki kumlaumu/kumuhukumu.
 
Naona umeandika kama Nasra....

Mie namshangaa huyo mbwira, alikuwa wapi siku zote asimrestishe in Piis huyo Nasra???

Kaka,

Siyo kitu rahisi kutoa roho ya mtu...Halafu huyo jamaa alishaanza kujiapiza kuwa atumua mke na kujiua...

Kwa nini usitafute suluhu nyingine?

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom