tatzo le2 akna dada 2kiona m2 mkimya 2nataka mpanda kichwan afu hakuna k2 knauma km u r quiet stil then sm1 is putn the finger on yo eye, ndo mana jamaa kafkia uamuz huo n cnc nasra kanususurika heshma itakuepo chacha
Huyo Nasra ni Jini! Anastahili yalompata! Kwani bwana alipokosea na kutembea nje,yeye Nasra hajawahi kweli? Na ana utakatifu gani wa kulipa kisasi kwa kufanya uzinzi waziwazi na mume ilishamwomba msamaha? Na amedhihirisha wazi kuwa ni mzinzi pale alipotamka kuwa watoto si wa mumewe! Bora angekufa kabisaa!
Naona umeandika kama Nasra....tatzo le2 akna dada 2kiona m2 mkimya 2nataka mpanda kichwan afu hakuna k2 knauma km u r quiet stil then sm1 is putn the finger on yo eye, ndo mana jamaa kafkia uamuz huo n cnc nasra kanususurika heshma itakuepo chacha
Mie siku zote huwa naamini mwanamke aliyeko kwenye ndoa anajiheshimu, anamuheshimu mumewe, anawaheshimu ndugu wa mume na wake pia, ukikuta mwanamke kabadilika mara nyingi chanzo ni mume wake, wanaume wanachangia kwa asilimia nyingi kubadilisha tabia za wake zao,
matatizo yanapotokea ndani ya ndoa sio wote wanaweza kuyamaliza kwa njia za busara babu DC, angalia mf. wa Nasra, kamfumania mumewe na njia pekee aliyoona itamwondolea machungu yake ni kulipa kisasi kwa kuwa na mwanaume mwingine, simlaumu manake hapo ndipo akili na maarifa yake yalipoishia. Mwingine labda angeamua kulewa wakati hapo kabla hakuwahi kutumia kilevi chochote, mwingine labda wangekaa wayazungumze then wasameheane na maisha yasonge... Hapa pia inabidi kumpata mume wa Nasra na kumuuliza ni kwanini aliamua kutoka nje ya ndoa yake... Usishangae pia akikwambia chanzo ni mke wake..
Babu DC ndoa zina siri nyingi usione milango na madirisha ukafikiri kuna amani sana!
Nasra alimkosea heshima mumewe, ila pia hakustahili kufanyiwa ukatili wa namna ile...ndoa ni ngumu babu DC, mie hata nashindwa nimtete yupi...
Hakuna binadamu mwenye haki ya kumpeleka binadamu mwenzie kuzimu, afu mbona Nasra alivyomfumania mumewe hakumpeleka kuzimu?.,. Wote wawili wana makosa.Aisee!
Kama hii stori ni ya kweli, ingekuwa mimi Nasra angeshakwenda kuzimu siku nyingi sana!
Huyu jamaa alikuwa mvumilivu sana bana!
Amina ndugu yangu!Utakuwa kwenye ndoa wewe Sweetlady na utakuwa umeona mengi.Umesema kila kitu.Cha msingi ni kuomba mungu akupe nafasi ya kukaa chini na kutafakari matatizo yako ya ndoa kabla ya kuchukua hatua yoyote.Wahusika wote kwenye ndoa tuna wajibu wa kuomba hilo.
Ubarikiwe sana Sweetlady
Mie siku zote huwa naamini mwanamke aliyeko kwenye ndoa anajiheshimu, anamuheshimu mumewe, anawaheshimu ndugu wa mume na wake pia, ukikuta mwanamke kabadilika mara nyingi chanzo ni mume wake, wanaume wanachangia kwa asilimia nyingi kubadilisha tabia za wake zao,
matatizo yanapotokea ndani ya ndoa sio wote wanaweza kuyamaliza kwa njia za busara babu DC, angalia mf. wa Nasra, kamfumania mumewe na njia pekee aliyoona itamwondolea machungu yake ni kulipa kisasi kwa kuwa na mwanaume mwingine, simlaumu manake hapo ndipo akili na maarifa yake yalipoishia. Mwingine labda angeamua kulewa wakati hapo kabla hakuwahi kutumia kilevi chochote, mwingine labda wangekaa wayazungumze then wasameheane na maisha yasonge... Hapa pia inabidi kumpata mume wa Nasra na kumuuliza ni kwanini aliamua kutoka nje ya ndoa yake... Usishangae pia akikwambia chanzo ni mke wake..
Babu DC ndoa zina siri nyingi usione milango na madirisha ukafikiri kuna amani sana!
Nasra alimkosea heshima mumewe, ila pia hakustahili kufanyiwa ukatili wa namna ile...ndoa ni ngumu babu DC, mie hata nashindwa nimtete yupi...
Hahaha! Eti ameandika kama Nasra lol...Naona umeandika kama Nasra....
Mie namshangaa huyo mbwira, alikuwa wapi siku zote asimrestishe in Piis huyo Nasra???
Sawa,
Mbona sie wengine tumeamua kuvuta miaka na tunakutana na hayo maneno ya akina mama kila siku iendayo kwa Mungu?
Bado siamini kama kuna sababu ya kumuua mwenzio au kumpa adhabu ya kikatili kama aliyopewa Nasra......!!
Babu DC!!
Kwa hiyo adhabu stahiki ya mtu aliyetoa matusi ni kifo?
Babu DC!!
Daaah! Inasikitisha kuona binadamu anageuka na kuwa na moyo kama wa mnyama....Nakubaliana na wewe SL,
Tatizo langu ni adhabu aliyopewa Nasra au tunazotoa kwa makosa tunayotendewa!!
Kuna story ilitoka kwenye TV ambapo mwanamke alimfumania mume wake na kujidai hakuna neno. Ile mume kazubaa mwanamke alichukua gari na kumkanyaga mara nyingi tu hadi akawa kama chapati.
Je hiyo ni adhabu inayomfaa cheater au mtu yeyote aliyemkosea mwenzi wake kwenye ndoa?
babu DC!!
Kk hapo pa DUSHELELE na SIGARA KALI umeniacha stand, ila kilichotokea ndo hali halisi ya ndoa zilizokufa na matokeo yake kwa wengi ni kashfa nk, ila siwezi kumlaumu huyo mume kila uvumilivu una mwisho wake.Wanawake mara nyingi ukiwamwaga wao matusi yao kwamba hauwezi kazi joka la kibisa huna nguvu oh mara dushelele kama sigara kali,hv miaka yote hyo alikua haoni??
Nipo hapa Kaizer, nihakikishie tu kuwa hunitafuti kwaajili ya kuniburuza na gari lol.Hii Ngumu kidogo
Ni kufanya maamuzi bila kufikiria
Nasra aliamini kuwa mumewe haweze kutembea na mwanamke mwingne (wrong assumption), ilivotyokea imemwathiri kiasi cha kufanya maamuzi aliyofanya
deep inside, anamtaka huyo mumewe...hayo matusi,ni maneno tu hata kwen kanga yapo. kama sio, asingemfata fata that way...huyo bwana hata kama anatemnea naye ama sure ni ile 'basi' tu
sasa basi wanahitaji nasaha wote wawili jinsi ya kukabiliana na hili
SL, popote ulipo nakutafuta.....
Afu unaeza kuta wala hakuna ukweli wowote, ni vile amepata maumivu makali moyoni sasa akaamua kuropoka hivyo ili angalau na huyo mumewe nae aumie kama yeye!Hapo siongelei matusi,bali uzinzi alojisifia nao kuwa kamzalia watoto nje ya ndoa!
Naona umeandika kama Nasra....
Mie namshangaa huyo mbwira, alikuwa wapi siku zote asimrestishe in Piis huyo Nasra???