Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.