Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nchi hii Haiwezi kuendelea kwasababu tunaongozwa na wajinga na wanatuona umma nasi ni wajinga..Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.
RubbishMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.
Na mtu anaejiheshimu awez kuongea ivyoNchi hii Haiwezi kuendelea kwasababu tunaongozwa na wajinga na wanatuona umma nasi ni wajinga..
Mtu anaekuheshimu na hawezi kukudanganya Kwa level ya uongo huyo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.
New York iliyojaa bodaboda bajaj na machinga kila kona..Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es Salaam.