Nasredin Nabi nashukuru kwa kutufikisha hapa

Unataka yapatikane mabao 10 ,mnacheza na vilema ama upewe jersey uzame ndani kama hujakata mauno
 
Acheni kumtusi mwana utopolo mwenzenu..amewasilisha na yy mawazo yaki...kama hujui huyu ni Yanga basi ww ni shabiki bumunda...
 
Soka gani sasa na wewe mpwa makaveli10
 
Baada ya wiki 2 watu watakuja hapa kuanza kuunga mkono uzi.

Sisi wabongo kwa unafiki hatujambo.
 
Hamna kocha pale sehemu zote alitumuliwa kwasababu alikuwa hafanyi vizuri Caf champions league na Caf confederation cup yanga woa wanaona wamepata professor kocha hana mbinu yoyote yupo yupo tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kama kipimo cha kocha mzuri ni mashindano ya CAF, niambie uchebe, Sven na Pablo wako kwenye timu zipi kubwa? Na wamefanikiwa kipi huko walipo
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
 
Utakuwa umetumwa na upande wa pili siyo bure

Yaan umwache kocha kisa timu inafunga magoli machache?!!

Unataka tumuache halafu adakwe na upande wa pili eeh

Umezingua mwamba
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
Kutokufunga magoli sio tatizo la kocha. Moloko, Kisinda na Faridi Mussa ndio mawinga wanaotegemewa hao, wakipata mipira wanachokifanya wanajua wao. Bado kule mbele kuna mapungufu ya wachezaji wenye viwango. Ukimtoa Aziz Ki, waliobaki ni unga unga mwana tu
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
Jamani hamuwezi kutoa mada bila kutukanana?
 
Niongezee hapa kidogo

Nab sahizi anaumiza kichwa sana sema tu sahizi lengo la kwanza ni kufunga la pili wasi ruhusu goli
Kwa nini?

Yanga wameondoa magoli,kivipi?
Msimu ulio pita Yanga walikuwa na Saidoo akicheza kama namba 11 alikuwa anatoa assists,kutengeneza nafasi na kufunga vile vile magoli. Msimu huu hayupo na hata Morrison aliye kuja kama mbadala wake hana muendekezo katika msimu wake wa kwanza akiwa na Yanga kwenye ligi kuu amecheza Dk zisizo zidi 350...kwenye eneo la hilo Yanga hawaja pata mbadala bado ambae atatoa magoli.

Wa pili ni FEI TOTO huyu ndiye aliye kuwa ngome ya Yanga kwa aina ya mpira wake anao cheza. Balance ya timu ya Yanga ilikuwa ni yeye ni kama kipindi ambacho MUKOKO TONOMBE alivyo kuwepo balance ilikuwa kwake...kuto kuwepo kwa FEI nako kume punguza magoli kwa Yanga kwa sababu ana uwezo wa kufunga na kupiga pasi za mwisho.. toka ameingia kwenye mgogoro na Yanga timu bado ina hitaji huduma yake...kwa nini?

Mudathir akicheza ana fanya vizuri sana vile vitu vya msingi kwa ukabaji ..wakati timu ikiwa na mpira mara nyingi ana aishia kati kati haendi kuongeza idadi ya watu kule mbele kitu kinacho pelekea eneo la hata aziz K anashuka chini kufata mpira
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
Wewe ndio pumbavu la kwanza ngedere kuwiko huna unalijua kuhusu mpira uko kupayuka payuka tu. Hakuna mnaloweza kufanya kufuta hili gape la point 6 zaidi komaeni lisiongezeke.

Nabi kawashika pabaya chanel zimepoteana. Kolowizardous
 
Yanga kwa Kingereza inaitwa Young Africans (yaani Vijana wa Kiafrika). Na siyo Dar Young Africans!

Halafu ifikie wakati uheshimu mkataba wa kocha na timu yake. Kiufupi tu, sababu zako zote ulizotoa hazina mashiko. Hivyo uache majungu.
 
Kweli kabisa timu ina struggle sana kupata ushindi.foward line sio nzuri sana au midfielder wanalisha mipira mibovu akina mayele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…