Nasredin Nabi nashukuru kwa kutufikisha hapa

Ushindi wa Yanga ni wa kocha Nabi hasa second half Yanga huja kivingine,

sijui umetumwa na nani.

Ya Feitoto mmeshindwa mmerukia kwa kocha Nabi!

Nabi kachukua makombe yote mwaka jana, mwaka huu tumeingia makundi shirikisho na kombe la ligi tumeanza kuandaa sherehe ya Mafataki Arachuga!

sisi wanaYanga inatutosha sana anachotupa Nabi ,

hatupendi uchokozi Makolo tulieni dawa iingie!
 
Wewe ndo unapaswa upumzike kuwa shabiki wa mpira wa miguu na sasa ukashabikie netball
 
Siku tukilingana na Simba Point ndipo mtanielewa ninachomaanisha wapumbavu nyie!,leo tunafurahi kwasababu tumemuacha Simba Point 6,ikatokea akatufikia ndipo mtaona umuhimu wa timu kufunga magoli mengi.

Acheni ushaabiki wa kipumbavu.
Magoli tuliyomzidi Uto ni yale tuliyopata kwa mchongo wa kuwadhoofisha wapinzani wetu kwa red cards na PENALTI za utata.
 
Jamaa hujakosea tatizo wengi wanaangalia mpira kishabiki hawataki kuangalia timu kiufundi ata kidogo Tu.
Ukiangalia yanga inavyocheza wakati tunashambulia utaona mawinga wanakuwa mbali sana na streka kunawakati unamkuta juma shabani na moloko wote wako pembeni au kibwana na Farid wote wako pembeni mayele akiwa peke yake kati sasa kwa mpira wa kisasa msipokuwa wengi kwenye box la mpinzani ni ngumu sana kupata magoli.

Ndo mana unaona yanga tukicheza na timu ndogo tunapata wakati mgumu sana kupata matokeo kwakuwa wanakaa wengi sana nyuma na mayele tunamuacha peke yake tofaut na tunapo cheza na timu kubwa ni rahis kupata matokeo kwa kuwa huwa wanafunguka hivyo kunakuwa na mianya mingi sana ndo mana mayele kafunga timu zote kubwa nchi hii
 
Utakuwa shabiki wa FC Dunduka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…