Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie
Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri sana hata kama kutangaza basi sio kwenye media ungeongea na washkaji zako tu wao ndo wanafaa kuambiwa mambo hayo wakushauri
Pili Mbona yako watu wamekaa nayo hawayasemi? Kuna watu wakipata chance kwenye media kuongea uozo wako nafikiri waweza kuhama mji kwa muda
Tatu na mwisho hizo ni tabia za kidada waliozalishwa na kuachwa ndo wanatakiwa wawe wanaongea hvy sio wewe kijana wa kiume,Punguza kuvaa vipuli huenda vimeanza kukuathiri
Mengine Ongezeeni,Vijana alionao wanashindwa kumwambia ukweli kwa sababu wanajua yeye ndo anawapa rizki au kujua watakosa ajila.