Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie

Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri sana hata kama kutangaza basi sio kwenye media ungeongea na washkaji zako tu wao ndo wanafaa kuambiwa mambo hayo wakushauri

Pili Mbona yako watu wamekaa nayo hawayasemi? Kuna watu wakipata chance kwenye media kuongea uozo wako nafikiri waweza kuhama mji kwa muda

Tatu na mwisho hizo ni tabia za kidada waliozalishwa na kuachwa ndo wanatakiwa wawe wanaongea hvy sio wewe kijana wa kiume,Punguza kuvaa vipuli huenda vimeanza kukuathiri

Mengine Ongezeeni,Vijana alionao wanashindwa kumwambia ukweli kwa sababu wanajua yeye ndo anawapa rizki au kujua watakosa ajila.
 
Sasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
 
Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie

Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri sana hata kama kutangaza basi sio kwenye media ungeongea na washkaji zako tu wao ndo wanafaa kuambiwa mambo hayo wakushauri

Pili Mbona yako watu wamekaa nayo hawayasemi? Kuna watu wakipata chance kwenye media kuongea uozo wako nafikiri waweza kuhama mji kwa muda

Tatu na mwisho hizo ni tabia za kidada waliozalishwa na kuachwa ndo wanatakiwa wawe wanaongea hvy sio wewe kijana wa kiume,Punguza kuvaa vipuli huenda vimeanza kukuathiri

Mengine Ongezeeni,Vijana alionao wanashindwa kumwambia ukweli kwa sababu wanajua yeye ndo anawapa rizki au kujua watakosa ajila.

1556081777952.jpg

Zari kaapa kihivi nasubiri Nasibu amchokonoe tena.. ashushe yake.
1556081711191.jpg

Domo bado anampenda Zarinah, ni kweli hana washauri wazuri kabisaa.
 
He's a celebrity alafu muhuni, hao unaowasema wanajua mambo yake na wakiyasema anaweza kuhama mji NI UONGO! Hawapo.

Diamond ni mwanaume wa kweli kama wewe umezoea kuchapiwa na unafanya siri ya ndani subiri tu kiharusi.

Alafu yuko na management yenye ufahamu mkubwa babu tale alikuwepo, Ricardo momo alikuwepo hawa watu wanajua nini inaharibu brand na nini inajenga hajaongea kwa bahati mbaya.
 
Kuna kitu huenda unakisahau wewe,ulisha sikia babu tale anaongea kwenye media mambo ya familia?

Acha kutetea ujinga,mtafute Hascana ndo anajua baadhi ya mambo yake kama awezi kukudharau atakuambia hata kidogo

Mzee sijasema kwa bahati mbaya ila kunali kataa hizo ni twabia za kike.

Mbona zari alienda BBC kusema udhaifu wa diamond.Watu wanataka kusikia msanii wao Ana kipi cha kuongea kwa tuhuma zilizopita..kuhusu kick ya mziki tumefanya interview wakati tuna milion moja kwa masaa 17

Kwahiyo diamond kusema tu I was dating bitch, tulikuwa pipa na mfuniko ndo iwe kesi..

Zari Ni malaya anaejua kingereza cha kuwavutia wadada wabongo,anayejiweka classic na Ana target wanaume maarufu kila Malaya ana style yake ya kujiuza...tunataka kusikia kwa diamond je kweli hajali familia,je kweli ye Ni mbwa,je kweli ametelekeza watoto?

Mwingine buku jero mwingine bila laki hutomb* ila wote Malaya...mjini kuna malaya wana hadi majumba

Halafu hamna heshima kuzaa na malaya, heshima ipo ukizaa na mwanamke mwenye maadili ...utamuheshinu Malaya kisa kakuzalia halafu mtoto anakuja kutombwa akiwa na miaka 9... hahahahaha jamani Mwanamke wa kuheshimu Ana sifa zake nyie
 
huyu kijana walimwambia kuwa amekumbana na gold digger hakuelewa. Na bado wana watoto, usije kuta alishafungishwa ndoa kisheria na issue za kugawana walichochuma pamoja zikiibuka dogo atabakia na 'tetema' pekee.
Kumbuka wakati wakiwa na huyu mama ndipo kijana alipaa zaidi!
 
Kuna kitu huenda unakisahau wewe,ulisha sikia babu tale anaongea kwenye media mambo ya familia?
Acha kutetea ujinga,mtafute Hascana ndo anajua baadhi ya mambo yake kama awezi kukudharau atakuambia hata kidogo
Mzee sijasema kwa bahati mbaya ila kunali kataa hizo ni twabia za kike.
Mzee naweza kusema you've talked nonsense😝😝. Hanscana hamjui diamond hawajawahi kuwa washikaji hata kidogo ngoja nikupe siri.

Kuna director wa video anaitwa Kenny ambaye ndio anasimamia kampuni tanzu ya WCB ya kutengeneza video Zoom production alikuwa anafanya kazi na hanscana baada ya yeye kunyakuliwa na mondi ndipo hanscana akaanza chuki ila sio za wazi.

Akaanza kusema aaah Kenny namtazama sana atafanya makubwa huko aliko ana kila kitu kinyongo ndo kilipoanzia hanscana hajui lolote.
 
Mzee naweza kusema you've talked nonsense[emoji13][emoji13]. Hanscana hamjui diamond hawajawahi kuwa washikaji hata kidogo ngoja nikupe siri.

Kuna director wa video anaitwa Kenny ambaye ndio anasimamia kampuni tanzu ya WCB ya kutengeneza video Zoom production alikuwa anafanya kazi na hanscana baada ya yeye kunyakuliwa na mondi ndipo hanscana akaanza chuki ila sio za wazi.

Akaanza kusema aaah Kenny namtazama sana atafanya makubwa huko aliko ana kila kitu kinyongo ndo kilipoanzia hanscana hajui lolote.
Me naishi nao nakuambia unaleta ubishi wakati ujanijua hata nina comment hapa ni nani,Ngoja nikuache naona unataka kubishana tu,ila omba Mungu akuepushie tabia za namna hiyo ni za kishenzi.
 
Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke.....

Wanawake wanamapungufu ila mwanaume kustate mpungufu au siri za ndan in Public ni zaid ya mapungufu.......!
Nimekupigia makofi huku.
 
Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie

Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri sana hata kama kutangaza basi sio kwenye media ungeongea na washkaji zako tu wao ndo wanafaa kuambiwa mambo hayo wakushauri

Pili Mbona yako watu wamekaa nayo hawayasemi? Kuna watu wakipata chance kwenye media kuongea uozo wako nafikiri waweza kuhama mji kwa muda

Tatu na mwisho hizo ni tabia za kidada waliozalishwa na kuachwa ndo wanatakiwa wawe wanaongea hvy sio wewe kijana wa kiume,Punguza kuvaa vipuli huenda vimeanza kukuathiri

Mengine Ongezeeni,Vijana alionao wanashindwa kumwambia ukweli kwa sababu wanajua yeye ndo anawapa rizki au kujua watakosa ajila.
hu ndio uboya wa kujitakia kabisa. maisha ya ,mapenzi kama sanaa, kila mtu anaishi anavyoweza. wewe kaa kimya ila wengine ukizinguwa unaambiwa ukweli. Sasa mtu unaambiwa hutoi pesa wakati unatoa na mwisho wa siku kunakuwa na figisu za makusudi kila siku uonekane mbaya katika Jamii. Wanawake ni mama zetu, shangazi zetu,mama zetu, dada zetu lakini wakiamuwa kukupoteza unapotea kweli. Kuna watu maarufu kabisa wamefilisika kabisa kutokana na figisu za wanawake.Omba sana yasikukute
 
Back
Top Bottom