Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Na bado atawanyoosha sana,na Mondi ndio Mwanaume wa Kiafrika anayetakiwa kuigwa kwa jitihada binafsi kikazi mpaka Tabia.
Atawanyoosha wapuuzi wenzie tena wake kwa waume[emoji20][emoji20]
 
Mkuu amemdhalilisha nani ? ebu acha bange basi , anaruhusiwa kufanya na kusema lolote, muhimu asivunje katiba ya nchi, kwahiyo acha umbeya mkuu
 
Acha kukurupuka kama mwanamke malaya anawai kwao asubui soma uelewe.
Mkuu amemdhalilisha nani ? ebu acha bange basi , anaruhusiwa kufanya na kusema lolote, muhimu asivunje katiba ya nchi, kwahiyo acha umbeya mkuu
 
Ahsante!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaka uko sahihi kabisaaaa
 
Angekuwa na elimu hata ya form four ingemsaidia sana. Kuwa na hela bila shule kichwani utakuwa zero tu
 
I gain something from your golden comment!
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
 
Hawa uliowataja hapa ni Vichwa Maji Yani mbumbumbu
 
Ndio waliomfikisha hapo alipo boss
Ndo Unavyojidanganya? Kipaji chake ndo kimemfikisha hapo, Uyo mwingine Tip Top ilimshinda Jiulize kati ya wale wasanii wote wa Tip Top yupi aliyemfikisha hat Level za mbosso?
 
Haeleweki
Sasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
 
Yule ni mwanaume wa Dar na kumbuka na siku hizi kampani zake nyingi amekuwa na Juma Lokole, atakuwa tayari jamaa wana wanapakua.


Diamond ni bisexual , anagonga na kugongwa
 
Mwanaume wa kweli anamsafirisha Juma Lokelo wanaenda wote Oman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…