Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie

Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri sana hata kama kutangaza basi sio kwenye media ungeongea na washkaji zako tu wao ndo wanafaa kuambiwa mambo hayo wakushauri

Pili Mbona yako watu wamekaa nayo hawayasemi? Kuna watu wakipata chance kwenye media kuongea uozo wako nafikiri waweza kuhama mji kwa muda

Tatu na mwisho hizo ni tabia za kidada waliozalishwa na kuachwa ndo wanatakiwa wawe wanaongea hvy sio wewe kijana wa kiume,Punguza kuvaa vipuli huenda vimeanza kukuathiri

Mengine Ongezeeni,Vijana alionao wanashindwa kumwambia ukweli kwa sababu wanajua yeye ndo anawapa rizki au kujua watakosa ajila.
Mkuu amemdhalilisha nani ? ebu acha bange basi , anaruhusiwa kufanya na kusema lolote, muhimu asivunje katiba ya nchi, kwahiyo acha umbeya mkuu
 
Acha kukurupuka kama mwanamke malaya anawai kwao asubui soma uelewe.
Mkuu amemdhalilisha nani ? ebu acha bange basi , anaruhusiwa kufanya na kusema lolote, muhimu asivunje katiba ya nchi, kwahiyo acha umbeya mkuu
 
He's a celebrity alafu muhuni, hao unaowasema wanajua mambo yake na wakiyasema anaweza kuhama mji NI UONGO! Hawapo.

Diamond ni mwanaume wa kweli kama wewe umezoea kuchapiwa na unafanya siri ya ndani subiri tu kiharusi.

Alafu yuko na management yenye ufahamu mkubwa babu tale alikuwepo, Ricardo momo alikuwepo hawa watu wanajua nini inaharibu brand na nini inajenga hajaongea kwa bahati mbaya.
Ahsante!!!
 
Mbona zari alienda BBC kusema udhaifu wa diamond.Watu wanataka kusikia msanii wao Ana kipi cha kuongea kwa tuhuma zilizopita..kuhusu kick ya mziki tumefanya interview wakati tuna milion moja kwa masaa 17

Kwahiyo diamond kusema tu I was dating bitch, tulikuwa pipa na mfuniko ndo iwe kesi..

Zari Ni malaya anaejua kingereza cha kuwavutia wadada wabongo,anayejiweka classic na Ana target wanaume maarufu kila Malaya ana style yake ya kujiuza...tunataka kusikia kwa diamond je kweli hajali familia,je kweli ye Ni mbwa,je kweli ametelekeza watoto?

Mwingine buku jero mwingine bila laki hutomb* ila wote Malaya...mjini kuna malaya wana hadi majumba

Halafu hamna heshima kuzaa na malaya, heshima ipo ukizaa na mwanamke mwenye maadili ...utamuheshinu Malaya kisa kakuzalia halafu mtoto anakuja kutombwa akiwa na miaka 9... hahahahaha jamani Mwanamke wa kuheshimu Ana sifa zake nyie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaka uko sahihi kabisaaaa
 
Angekuwa na elimu hata ya form four ingemsaidia sana. Kuwa na hela bila shule kichwani utakuwa zero tu
 
Mbona zari alienda BBC kusema udhaifu wa diamond.Watu wanataka kusikia msanii wao Ana kipi cha kuongea kwa tuhuma zilizopita..kuhusu kick ya mziki tumefanya interview wakati tuna milion moja kwa masaa 17

Kwahiyo diamond kusema tu I was dating bitch, tulikuwa pipa na mfuniko ndo iwe kesi..

Zari Ni malaya anaejua kingereza cha kuwavutia wadada wabongo,anayejiweka classic na Ana target wanaume maarufu kila Malaya ana style yake ya kujiuza...tunataka kusikia kwa diamond je kweli hajali familia,je kweli ye Ni mbwa,je kweli ametelekeza watoto?

Mwingine buku jero mwingine bila laki hutomb* ila wote Malaya...mjini kuna malaya wana hadi majumba

Halafu hamna heshima kuzaa na malaya, heshima ipo ukizaa na mwanamke mwenye maadili ...utamuheshinu Malaya kisa kakuzalia halafu mtoto anakuja kutombwa akiwa na miaka 9... hahahahaha jamani Mwanamke wa kuheshimu Ana sifa zake nyie
I gain something from your golden comment!
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
 
He's a celebrity alafu muhuni, hao unaowasema wanajua mambo yake na wakiyasema anaweza kuhama mji NI UONGO! Hawapo.

Diamond ni mwanaume wa kweli kama wewe umezoea kuchapiwa na unafanya siri ya ndani subiri tu kiharusi.

Alafu yuko na management yenye ufahamu mkubwa babu tale alikuwepo, Ricardo momo alikuwepo hawa watu wanajua nini inaharibu brand na nini inajenga hajaongea kwa bahati mbaya.
Hawa uliowataja hapa ni Vichwa Maji Yani mbumbumbu
 
Ndio waliomfikisha hapo alipo boss
Ndo Unavyojidanganya? Kipaji chake ndo kimemfikisha hapo, Uyo mwingine Tip Top ilimshinda Jiulize kati ya wale wasanii wote wa Tip Top yupi aliyemfikisha hat Level za mbosso?
 
Haeleweki
Sasa mkuu hiyo clip umeiona wewe lkn unatuambia sisi tuongezee!!!halafu mtu ushajua ana matatizo nguvu ya kumdiscuss unaitolea wapi!!?au unampenda kimya kimya umekasirika ulichokiona huko kwenye clip!?UMENIPA MASWALI MENGI EWEW KULIKO HIYO CLIP.
 
He's a celebrity alafu muhuni, hao unaowasema wanajua mambo yake na wakiyasema anaweza kuhama mji NI UONGO! Hawapo.

Diamond ni mwanaume wa kweli kama wewe umezoea kuchapiwa na unafanya siri ya ndani subiri tu kiharusi.

Alafu yuko na management yenye ufahamu mkubwa babu tale alikuwepo, Ricardo momo alikuwepo hawa watu wanajua nini inaharibu brand na nini inajenga hajaongea kwa bahati mbaya.
Mwanaume wa kweli anamsafirisha Juma Lokelo wanaenda wote Oman?
 
Back
Top Bottom