stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Yes nasubilia kuona tajiri akijirekodo clip akisema hadi sasa katumia bilion ngapi maana aishiwi maneno chupri chupri nyingi sana hakuna usajili wowote wa maana wamefanya hadi sasa.
tajir mpeche mpecheTajiri Mswahili tajiri Vijora Tajiri mpenda Kiki...Mengine malizieni
UKWELI SIMPENDI