Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha hizo walitumia sana 2018 hawa jamaa saiv wamekuja na mbinu mpya
wanakupigia simu nakujifanya wao ni customer care wanakwambia kuna mteja wao kakosea kutuma pesaIpi hiyo
mwanza
Akadange huko amenikera kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akijibu unitag
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo mbona ya 2018wanakupigia simu nakujifanya wao ni customer care wanakwambia kuna mteja wao kakosea kutuma pesa
Ahaaaa nakuja mkuu watu wanataka pesa bnaUlikua wap mamalao ukujege na kwangu kudanga bhana.
Nawa ambiaga ntumi cha kumi niifate ilipo