Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
1,889
Reaction score
3,059
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi

Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu

Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda

Sasa ni hivi anakuja huku nilipo kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwa ajili yangu

Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa sina uhakika kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki

Yaani nasubirii awe mume ndio nimpe tunda

Ushaurii tafadhari namna ya kumkacha
 
Back
Top Bottom