Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi

Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu

Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda

Sasa ni hivi anakuja huku nilipo kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwa ajili yangu

Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa sina uhakika kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki

Yaani nasubirii awe mume ndio nimpe tunda

Ushaurii tafadhari namna ya kumkacha
Kwani wewe bikra? kama sio endelea kutafunwa hivyo hivyo
 
My kutokuwa bikira haina maana ndio nivuevue chupi ndugu bado nina safari ndefu
Sasa umemkubali wa nini? Achana na huyo jamaa ukiendelea kumyima atajifanya fala ila siku ukimpa atakukaza atakukimbia? Yan mnaoana hamjatombana we akili ziko sawa kweli au unataka baadae kuwa na mizozo isoisha? How old are you ? Anyways anaweza akajifanya anakubali ila jua anatomba kwingine, hakuna mtu hawez kuvumilia nyege kama mwanaume, huwez kumwita aje akushike shike alafu asikutombe, kwani hii karne ya ngapi mkuu ? Aisee unatengeneza mwenyewe mazingira ya kuja kubanduliwa alafu kuachwa
 
Yaani wanaume sijui mpoje yaani kwamba inamaana kwamba kama sina bikra ndio iwe tiketi ya kumpa kila ataeomba sasa nikifanya hivyo si nitajaza kijiji
Sasa si jamaako kwanini asikukule? Wa kwanza alikukulaje ?
 
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi

Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu

Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda

Sasa ni hivi anakuja huku nilipo kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwa ajili yangu

Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa sina uhakika kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki

Yaani nasubirii awe mume ndio nimpe tunda

Ushaurii tafadhari namna ya kumkacha
mvulie sidiria tu,chupi hapana
 
Back
Top Bottom