Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Sio kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndoa, wewe mpe tu ila usimpe stlye zote. Unaweza ukampa tu kifo cha mende.
Daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kifo cha mende ndiyo kinakuwaje Mkuu
 
Yaani hata Kama ndio nikitembeze kwa kila mtu et kisa sio
Ok,una haki ya kuchagua wa kumpa,uliamua kuwapa wale wa kupiga na kusepa,huyu mwenye nia njema na wewe unamnyima.
Utasema kwamba huna imani kwamba atakuoa,wale uliowapa kabla ulikuwa na Imani nao au imekaaje hii?Unaweza hata kumkazia usimpe,lakini akala baada ya ndoa na akaona mzigo sio kiviile,akaanza kukuchiti ukiwa na ndoa naye.We mpe tu huo mzigo akague,akiridhika nao ataendelea na mchakato wa ndoa,asiporidhika pia fresh tu,mnapigana chini mapema,unasubiri mwingine aje akufanyie Vetting!
 
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi

Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu

Huyo kijana mimi nampenda na ningetamani awe mume hapo baadae Kama Mungu akipenda

Sasa ni hivi anakuja huku nilipo kama unavojua lazima atake papuchi maana anakuja kwa ajili yangu

Nipeni mbinu ya kumkataa nisilale nae yaani nisifanye nae sex… ni hivi sitaki kusex nae kwa sasa na wala sitaki pesa yake yote ni kwa kuwa sina uhakika kama tutaoana sasa kuvulia vulia wanaume chupi sitaki

Yaani nasubirii awe mume ndio nimpe tunda

Ushaurii tafadhari namna ya kumkacha
 
Ok,una haki ya kuchagua wa kumpa,uliamua kuwapa wale wa kupiga na kusepa,huyu mwenye nia njema na wewe unamnyima.
Utasema kwamba huna imani kwamba atakuoa,wale uliowapa kabla ulikuwa na Imani nao au imekaaje hii?Unaweza hata kumkazia usimpe,lakini akala baada ya ndoa na akaona mzigo sio kiviile,akaanza kukuchiti ukiwa na ndoa naye.We mpe tu huo mzigo akague,akiridhika nao ataendelea na mchakato wa ndoa,asiporidhika pia fresh tu,mnapigana chini mapema,unasubiri mwingine aje akufanyie Vetting!
 
Ipi genuine reason haswa inayokufanya hutaki kutoa papuchi? (Nimeitaja sawa eh🤣)

Kama it's not spiritual reason ... Sina Cha kukusaidia
 
My kutokuwa bikira haina maana ndio nivuevue chupi ndugu bado nina safari ndefu
SAMAHANI USIJE NITUKANA:

safari yako ilikuwa fupi siku ile tu ulipotolewa kiwambo

unaweza ukajiona una safari ndefu kumbe kuna mwamba hata hana nia ya kukuoa anakufupishia maisha kwa kukunyandua mdogo mdogo.

SEMA "TAWILEEE"
 
Ok,una haki ya kuchagua wa kumpa,uliamua kuwapa wale wa kupiga na kusepa,huyu mwenye nia njema na wewe unamnyima.
Utasema kwamba huna imani kwamba atakuoa,wale uliowapa kabla ulikuwa na Imani nao au imekaaje hii?Unaweza hata kumkazia usimpe,lakini akala baada ya ndoa na akaona mzigo sio kiviile,akaanza kukuchiti ukiwa na ndoa naye.We mpe tu huo mzigo akague,akiridhika nao ataendelea na mchakato wa ndoa,asiporidhika pia fresh tu,mnapigana chini mapema,unasubiri mwingine aje akufanyie Vetting!
Mwamba mbinguni utapasikia kupitia ZBC 2
NIMEKWAMA HAPA KWENYE "vetting"
 
Back
Top Bottom