Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Kwa maoni yangu hapo hakuna namna utaweza kumkwepa. Hata ukisema unaumwa utapelekwa hospital. We kubali tu suala la kuwa mume wako itatokana na muendelezo wa mahusiano yenu. Huwezi kukwepa na ukikwepa jamaa atasema una mtu wako huko ndio maana unamkwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…