Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hata akina Mrisho mpoto wameuchuna kama sio Watanzania vile.Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
YOHANA 3:20-21Nguvu ya Giza imeisha!!
Hii biblia ime andikwa na nani?YOHANA 3:20-21
Β²β° Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
Β²ΒΉ Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anatumia mitulinga?Nguvu ya Giza imeisha!!
Endelea kusubiriMimi nasubiria kauli ya Kardinali Rugambwa
Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Sifa kwako Eeh KristoYOHANA 3:20-21
Β²β° Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
Β²ΒΉ Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo ni msanii wa Mazingaombwe tu. Vichwa treni alisema...viko wapi.Kwani anatumia mitulinga?
πππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo ni msanii wa Mazingaombwe tu. Vichwa treni alisema...viko wapi.
Enzi za Bashite alimkandia sanaHana sauti huyo
BiminghamSubiri kwanza arudi kwenye ile safari aliyowapeleka watu wake wa Kawe USA.
siyo mpumbavu km wewe, na iyo mnafiki kujidai ni wazalendo kumbe mmelishwa asali.Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Bado unasubiri safari ya carlifonia!Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa mali asili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Ukorofii huuAmekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.
Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.
Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?
Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?