Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?

Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Askofu Gwajima ni "mjasiriasiasa". Opportunist. Ndoto zake za sasa ni kupata nafasi ya uteuzi ya juu kama VP, PM, na hasa Urais wa Nchi. Ndiyo ndoto za lengo lake. Yuko inspired na Rais wa sasa wa Malawi. Anaota Nchi inahitaji Rais mlokole ilie haki itawale. Ni hivyo tu
 
Jamaa anajua kuzitafuta kwa mafala
Nchi hii ukiingia pande za mahubiri lazima utoboe tu maana wa kukuchangia wapo wengi
 
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?

Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
Hawezi tena kuongea, kipindi cha corona Samia alimfunga mdomo pale Tegeta, alimwita Gwajiboy upooo?

Tangu siku ile ulimsikia tena?
 
Bado,endeleeni kuhamasisha na viongoz wenu wengine wa dini watoke mbele kuisumbua serikali.

PENGO tayari,

TEC tayari,

Mwamposa tunasubir,Gwajima tunasubir,Mzee wa upako tunasubir.

Mmeshageuzaa mada huko makanisani
 
Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa.

Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake.

Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote?

Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
we ulienda kuhudhuria ibada au kufuata ubuyu?
ukiendekeza unafiki utakufa mapema sana, badilika.
 
Kila jambo na wakati wake.

Wakati wa kusema, na wakati wa kunyamaa,

Sina shaka na Uzalendo wa Gwajima,

Endelea kunyamaza, Ili ukipata wasaa, utujibu Kwa vitendo.

Mungu Ibariki Tanzania.

Amen
 
Back
Top Bottom