Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

Me nashangaa sana Shomari kapombe na Shabalala kutoitwa!me nasema hata uwepo wao benchini ina maana kubwa sana.
Tatizo wakiwa taifa stars hawajitumi kama wakiwa aimba

Kocha ashalisema hilo na wadau tushaliona wakiwa timu ya taifa hawajitumi kabisa wanacheza tu ilimradi mpira uishe warudi simba kupiga hela

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kunawakati tunaomba, tena tunaomba sana tuheshimishe tunaofuatilia mabandiko yako.
Ila kwa hili hapana, FEI KIWANGO KIMESHUKA SANA. Tusiishi kwa mazoea
 
Bora wanaficha kikosi cha timu ya taifa na waendelee kuficha tu mtu unampigia debe mchezaji Fulani aitwe ilihali kocha hamuhitaji uliwahi ona wapi na wapi?!!

Ya kocha mwachie kocha nyie wengine kaeni na upambe wenu wa kupendekeza wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…