Nasubiri kuona adhabu kali kwa Moloko na Gamondi kwa waliyokuwa wakiyafanya jana uwanjani kabla mchezo haujaanza

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.

Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.

Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga

Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.

Tunasubiri
 
Bado hamjasema, ila mutasema tu.

TABULELEEEEE
 
Hii khamsa inauma mno asikwambie mtu, ukimsalim Kolo kwa vidole vitano ni makonde tu kifuatacho!!

Binti yangu kolo jana nilimshawishi sana twende nae kwa Mkapa machale yakamcheza Leo kaniambia kafurahi sana hatukuenda maana angelia sana kule.

Na Bado mpaka msemeeeeee!!
 

Attachments

  • VID-20231106-WA0001.mp4
    860.3 KB
Kwa hiyo unataka kusema hata yale magoli yote 5 yaliingia kishirikina!! 😁

Kweli a fool will remain fool whether he goes to school or not!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…