Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwanza, Yanga walipitia mlango usiokuwa rasmi.
Pili, Wakati wanakagua uwanja kuna vitu vilikuwa vinamwagwa uwanjani halafu vinashindiliwa
Moloko alionekana katika kibendera akikanyaga vitu vilivyokuwa vinamwagwa na mwenzake.
Golini upande wa kusini wakawa wanamwaga vitu na kuvikanyaga
Hayo ndiyo niliyoyaona jana achilia mbali aziz key kuambiwa awe wa mwisho kuingia uwanjani, sijasahau basi lao hawakupanda jana wakapanda vigari vingine vya ajabu, haya yote wenye mpira wanaona.
Tunasubiri