Nasubiri salaam za pole kutoka Ubalozi wa Marekani!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).

Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba waoneshe utu.

MY TAKE:
Anayewajali wananchi ni Serikali ya CCM na hakuna mgeni au kibaraka atakayewajali wananchi pindi tutakapopata majanga.
 
Imetoa tamko hili.

dodge
 
Usiwapangie!
Anyway, endelea kusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi ni kuwa, zito ameandika barua kuzuia fedha za MABEBERU, lakini wewe na Lumumba(ccm) kwa ujumla wake mnapinga vikali mkidai anasaliti nchi.
Usichanganye issues...kuna mkopo na kuna uhisani.
Those are two different things.
 
Badala kung’ang’ania vikao vya Chama kujadili mambo ya msingi wakati taifa limo in dilema wewe unaleta mada za Marekani kutoa pole.


Kweli CCM tumeishiwa vijana!
 
Badala kung’ang’ania vikao vya Chama kujadili mambo ya msingi wakati taifa limo in dilema wewe unaleta mada za Marekani kutoa pole.


Kweli CCM tumeishiwa vijana!
Chama hakiwezi kujadili barua zilizoandaliwa na wanaopigia debe ushoga.
Msiba sio muhimu kwa taifa?
 
Chama hakiwezi kujadili barua zilizoandaliwa na wanaopigia debe ushoga.
Msiba sio muhimu kwa taifa?
Kwa iyo uchumi wa nchi kuyumba kutokana na sera mbovu za mtu mmoja na kundi lake sio jambo la muhimu kujadiliwa na chama???

Kwa iyo watanzania kuanza kuwekewa vikwazo kwenye Mataifa ya nje sio jambo la kujadiliwa na chama???

Kwa iyo nchi kukosa mikopo na misaada tuliyokuwa tunapata siku zote kwa sababu ya mtu mmoja na kundi lake na kiburi chao sio jambo la kujadiliwa na chama???


Kweli CCM tumepotea!!!!
 
ndipo akili zako za kufikiria zimekwamia hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…