Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hapo Lumumba mtarimbo wa USA umewaganda mnasikia utamu na uchungu at the same time.Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba waoneshe utu.
Sent using Jamii Forums mobile app