Nasubiri salaam za pole kutoka Ubalozi wa Marekani!

Hapo Lumumba mtarimbo wa USA umewaganda mnasikia utamu na uchungu at the same time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa mmepoteza DIRA
 

Pole kwa uzembe wenu wenyewe!??
 
Uchumi wa nchi unayumba wakati unakua kwa zaidi ya asilimia 6.9%

kwa taarifa yako mwaka 2015 tulinyimwa fedha za MCC lakini umeme umesambaa vijijini.
 
Jinga kubwa kama lako jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa nchi unayumba wakati unakua kwa zaidi ya asilimia 6.9%

kwa taarifa yako mwaka 2015 tulinyimwa fedha za MCC lakini umeme umesambaa vijijini.
Asilimia 6.9 za Taasisi ya Takwimu ya Taifa????


Hongereni sana.


Sasa mwaka huu kuna kesi karibu 10 mahakamani za mabilioni, na kupunguzwa misaada ya Sweden, kuwekewa travel ban Marekani, kunyimwa mkopo wa World Bank na mengineyo mengi yanakuja.

Ulitakiwa uanze kujiuliza kwa nini tumewapa nchi watu wasio na exposure na hekima na kufikiria tumweke nani mwaka huu 2020 kuliokoa taifa sio utumbo wako unaouleta hapa.
 
Jingalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kuwapangia?
Jr[emoji769]
 
Ndio maana tulitaka kukopa sio kupewa msaada.
Kumbuka hata Marekani anakopa
Ukienda kukopa ukiambiwa NO unaondoka zako. Lakini hii ya kulalama kula mahali huku mkisema watu wauwawe kwa vile eti ndio wamefanya msikopeshwe ni MPYA!
 
Mmenunua mabombadieee na midrimulaina mkasahau chopper za kuokoa watu,Lindi watu 500 mpaka sasa hawajaokolewa kutokana na mafuriko.
 
Wahanga wa mafuriko kule Kilwa wanakufa kwa njaa. Serikali imeshindwa kuwasaidia hata chakula. Wamarekani wanaanzaje kutoa pole!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmenunua mabombadieee na midrimulaina mkasahau chopper za kuokoa watu,Lindi watu 500 mpaka sasa hawajaokolewa kutokana na mafuriko.
Chopa zimeshatumwa mjomba
 
Naogopa,lakini unaumri gani Dada/kaka maana wee huoni ubaya was CCM kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…