Nasubiri salaam za pole kutoka Ubalozi wa Marekani!

Kwa nini mnaenda kukupoa na kila siku mnasema mna hela nyingi sana?
Mbona Marekani inakopa pamoja na kuwa na fedha nyingi?
Hata MO wa Simba anakopa
 
Mbona Marekani inakopa pamoja na kuwa na fedha nyingi?
Hata MO wa Simba anakopa
Hawajawai kujimwambafy kama Magufuli kuwa wana hela na wanaweza kufamya kila kitu kwa hela zao za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…