Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni tena? Ameshaanza kupata Mkong'oto huko aliko Mahabusu hadi Kutembelea Fimbo hivi au labda ni Kutuzuga tu Watanzania na kutafuta Huruma yetu na Kutusahaulisha Madai anayohusishwa nayo?
Duh..! nilijua ni Yeye Ole Sabaya Ndugu.huyo ni mmoja wa mabaunsa wa sabaya..
Vipi keshafanikiwa sasa Kukupa Mimba?GENTAMCYNE
andika tu kiswahili mkuu. hiyo lugha waachie wakoloniJust because there is no evidence, it doesn't means your not guilty.
Kwa hiyo wote wale wajinga na takukuru wote ila wewe, mwambieni basi akalale nyumbani.Sabaya atatoka akiwa mweupe kama sufu
Yourself. Naona una shida zako tu zinakusumbuaKwa hiyo wote wale wajinga na takukuru wote ila wewe, mwambieni basi akalale nyumbani.
I think we should have a way of filtering threads from stupid imbeciles like these on this platform.
How can we have a healthy conversation or argument on this forum with idiots like this one day in day out always sprouting feces from their mouth !!!??
Jama yenu ni mtu mdogo sana ila ni kama ka mbwa ia jirani kana bweka vibaya sana kakisaidiana na vimbwa vingine koko.Yourself. Naona una shida zako tu zinakusumbua
@moderatorVipi keshafanikiwa sasa Kukupa Mimba?
@Maxence MelloVipi keshafanikiwa sasa Kukupa Mimba?
Jama yenu ni mtu mdogo sana ila ni kama ka mbwa ia jirani kana bweka vibaya sana kakisaidiana na vimbwa vingine koko.
Sasa we utadhani bonge la GS au German Sheperd kumbe kijibwa. Utarudi kulala.
Pale lupango
Amewai kuingia aliyekuwa balozi wa Italy,
Waziri Basil Mramba nadhani slikuwa na cheo cha Mwigulu enzi hizo na Katibu wa kuu wa Wizara pia n.k
Ni kijitu kidogo ila anjiona wa maaaana.
Katika equation yenu na hizo formulae mnazotumia wekeni kipengere cha kujiuliza kama Mungu anaweza kuvuruga mliopanga.
Walioonewa wana mlilia Mungu wao pia na Mungu anajibu kwa namna yake. Nadhani kilichotokea muda si mrefu ni mfano mzuri. Ndio maana jamaa yenu amekwama pia.
Acheni ujinga kama mnategemea waganga/wachawi na pesa wengi mtaangamia. Damu haipotei bure bro.
Bahati nzuri nao wanaelewa Jukumu la Kumpa Mimba / Ujauzito Mwanamke Kiuumbaji na hata Kibaiolojia anao / analo Mwanaume.@moderator
Bahati nzuri nao wanaelewa Jukumu la Kumpa Mimba / Ujauzito Mwanamke Kiuumbaji na hata Kibaiolojia anao / analo Mwanaume.@Maxence Mello
Aiseeee hahaha!!!Jama yenu ni mtu mdogo sana ila ni kama ka mbwa ia jirani kana bweka vibaya sana kakisaidiana na vimbwa vingine koko.
Sasa we utadhani bonge la GS au German Sheperd kumbe kijibwa. Utarudi kulala.
Pale lupango
Amewai kuingia aliyekuwa balozi wa Italy,
Waziri Basil Mramba nadhani slikuwa na cheo cha Mwigulu enzi hizo na Katibu wa kuu wa Wizara pia n.k
Ni kijitu kidogo ila anjiona wa maaaana.
Katika equation yenu na hizo formulae mnazotumia wekeni kipengere cha kujiuliza kama Mungu anaweza kuvuruga mliopanga.
Walioonewa wana mlilia Mungu wao pia na Mungu anajibu kwa namna yake. Nadhani kilichotokea muda si mrefu ni mfano mzuri. Ndio maana jamaa yenu amekwama pia.
Acheni ujinga kama mnategemea waganga/wachawi na pesa wengi mtaangamia. Damu haipotei bure bro.
Mimi ni msomi mzuri wa Bible kitakatifu. Nikimuangalia jamaa yenu huyo napata picha ya kijana aliyeamini sana ushirikina ktk kujiendeleza ki maisha.
Watu wenye silka hizo wanasomeka kutokama na mambo yao.
Dalili kubwa sana ambayo ni wazi kwa wanaojua na wasiojua utakuta kazini hata uraiani mtu mdogo tu au wa kawaida ana tisha fulani.
Na vile vichawi vidogo ili kukutisha atajidai kaoneshwa mambo yako.
Utajikuta una kosa amani fulani unamwogopa boss au huyo mtu wakato huna kosa lolote au issue yeyote.
Ya pili, wengi wanaotumia hizo nguvu za giza akiona zime tiki anaanza kujiamini kupita kiasi.
Anajiamini kwenye kila kitu iwe kesi,cheo,pesa,n.k. Sasa kumbe anazidi kuingia chaka. Viongozi wengi kwenye mawizara na mashirika na hasa wanasiasa wanapenda sana hii Utakuta anatisha na una mwogopa kama vile roho yako ameishikilia yeye.
Sasa bahati mbaya hizi nguvu ni temporary zina expire baada ya muda. Sasa muda ndio ( X) haujulikani. Inaweza kuwa mwaka 1 au X years. Baada ya hapo ni mambo kuvurugika vibaya mno.
Namna nyingine ya wao kuvurugwa ni kukutana na watu kama sisi ambao,ni bahati mbaya sana ukija anga zetu, sisi tunamwomba Mungu tu basi. Na Mungu anajibu bila kukosea. Hapa ndipo wanajisahau. Bahati mbaya wengi sisi hatujihusishi na siasa nothing personal against the former DC wala sijawai hata kumwona.
Ila kama kuna dalili ya nguvu za shetani kula haki ha damu za watu hapo sasa ndio patamu.
Yaani mambo yote ni spiritual uhalisia ndio unatokea in the real world.
Tumeachana wengi hapa mko gizani ila wale washirikina wameelewa vizuri sana.
Tunajibu power with POWER.
mkuu hapo hata hakuna haja ya kubet, sabaya amekonda sana zile kaunda suit zinampwaya na amevimba macho kuashiria maisha si mema..Kulikoni tena? Ameshaanza kupata Mkong'oto huko aliko Mahabusu hadi Kutembelea Fimbo hivi au labda ni Kutuzuga tu Watanzania na kutafuta Huruma yetu na Kutusahaulisha Madai anayohusishwa nayo?
Sina Chakuongeza Wala kupunguza, UmemalizaKama hujui kusoma uwe unaangalia hata picha zitakusaidia.
Sabaya ashinde kesi asishinde haimaanishi hakutenda anayotuhumiwa nayo. Jitahidi hata kupita mahakamani mara moja moja utajua kuna majambazi wanaachiwa huru huku kila kitu kikiwa walikifanya lakini technical issues zimewasaidia. Mtu anaweza kushitakiwa halafu yeye au ndugu zake wakanunua mashahidi, wakatisha mashahidi au hata wakaua mashahidi. Kushinda kesi mahakamani hakukuondolei uhusika wako kwenye jinai kama ulihusika ulihusika tu.
MWISHO;
Tamko la juzi la PM kwa maRC kutotumia Mabaunsa likusaidie kujua kuna RC/DC serikali ina ushahidi usioacha shaka kuwa alikuwa anatumia Mabaunsa.
KAMA NI VIGUMU KUSOMA ANGALIA PICHA.