Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

Kuachiwa hakubatilishi uhalifu wake, mhalifu ni mhalifu tu.
Wapo hata walioua na wakashinda kesi wakatoka ilhali wameua kweli
 
huwa namfata malissa kule facebook na twitter namweleza mara kwa mara,aache kutumika kijinga.

yaani pamoja na kuwa mtu mwenye ushawishi ila bado ni dhaifu sana anayekubali akili yake ikayumbishwa kienyeji tu.

pale kesi hakuna,sabaya hafungwi na hakuna mlalamikaji mwenye kesi ya msingi dhidi yake,majinga yanapiga kelele tu.
kuna muda unaona kabisa ni kweli ccm umeichoka,lakini kuitoa kwa huu upinzani wa kuunga unga na uzi,haiwezekani abadani.
Watu wamevunjwa miguu,wametobolewa makalio wengine wamefirw#,wengine wamefilisika wengine wamekufa halafu wewe unakuja humu kutapika ugoro..!
Namhurumia mama yako yaani amebeba mimba iliyozaa mapooza pole sana..!
 
Hata kama ataachiwa jela kakaa alikuwa anapeleka wenzake na bangili kavaa na kazi imeisha atakuwa kajifunza kitu hata akirudi uraiani atakuwa kajifunza kitu
 
Watu wamevunjwa miguu,wametobolewa makalio wengine wamefirw#,wengine wamefilisika wengine wamekufa halafu wewe unakuja humu kutapika ugoro..!
Namhurumia mama yako yaani amebeba mimba iliyozaa mapooza pole sana..!
Kama mama yako alikuzaa uje umhudumie harafu ulivyo amfibia, unakwenda kuanza harakati utumbo, unadakwa, unagongwa sana, sometimes unakufa kabisa.

Hii ni kutoheshimu hisia za mzazi wako, utalaanika milele.
Kama huyu mbuta mwenzako.

IMG-20210716-WA0044.jpg
 
Hata kama ataachiwa jela kakaa alikuwa anapeleka wenzake na bangili kavaa na kazi imeisha atakuwa kajifunza kitu hata akirudi uraiani atakuwa kajifunza kitu
Kama mdude alikaa mwaka mzima na katoka bado kichaa, ijekuwa sabaya wa mwezi mmoja!!!
 
Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru.

Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF Members waliokuwa na Macho ya mbali na kusema kuwa atatoka huko akiwa Huru na hatutoamini kabisa.

Kwanini katika Headline yangu nimesema ikitokea kweli Ole Sabaya akaachiwa Huru nitawalaumu sana Watanzania wa Mitandaoni kwa Unafiki wao?

Jibu ni kwamba wakati Ole Sabaya akiwa Ofisini kama DC wa Hai na hata pale alipotumbuliwa tu Watanzania wa Mitandaoni walikuwa wakimshambulia mno huku wengi wao wakijifanya Kumjua sana na kwamba wanna Ushahidi wa Makosa yake yote.

Cha Kushangaza kuna Taarifa nimezipata kutoka kwa Watu walioko huko Mahakamani zinasema kuwa japo Ole Sabaya ameshutumiwa sana na Kuhusishwa na Mambo mabaya mengi ila ama Ushahidi uliopo na unaopelekwa hauna Mashiko au Watanzania wengi ni Wazushi tu na hawajui lolote zaidi tu ya Kuhemka na Kudemka.

Nilikuwa nampinga mno Mtu Mmoja aliyewahi kuniambia kuwa haya Madai yote anayoambiwa Ole Sabaya ni ya Uwongo mtupu na kwamba kuna Matajiri wa Kilimanjaro na Arusha kwa Kushirikiana na baadhi ya Wanasiasa kwa Interests zao tu za Kiuchumi / Kibiashara waliamua Kuungana ili Kummaliza Ole Sabaya na kufanya Propaganda mbaya dhidi yake ambayo pia imefanikiwa kuingia kwa Sisi wana Mitandao na hata huko Uraiani kwa Jamii.

Nimeshajua kwanini Sabaya hana Hofu.
Afisa Kipenyo yule jamaa
 
Back
Top Bottom