Nasubiria Polepole atuambie Mbowe na kundi la Wanamtandao wanajuana ama lah

Nasubiria Polepole atuambie Mbowe na kundi la Wanamtandao wanajuana ama lah

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
 
Usiwe na haraka ngoja amalizie kwanza aliloanza nalo
 
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?

Mbowe ni Mtandao. Alikuwa anakula na akina Kikwete. Miaka yote hiyo alitumia uenyekiti wake kama sehemu ya kupigia deals na serikali. Unamsikia sasa? Aaargh wapi. Anakunywa mtori tu na nyama ameshazikuta chini.
 
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
Inasemekana wanajuana vilivyo!
 
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
Unauliza makofi kituo cha police Mbowe ni mtoto wa Mjini kuna Uzi humu kipindi cha Magufuli ulianzishwa. Je Magufuli atawaweza watoto wa mjini kipindi Mbowe yuko Magereza
 
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
Wewe unawajua?

Watanzania tumekua wa hovyo sana

Kila kitu tunasubiri meingine aseme ba ahatarishe maisha yake

Unafiq na uoga
 
Rostam Aziz alinunua vyombo vya muziki kwa ajili ya Kwaya za Kanisani kwa Mbowe, Sitta, Lowassa na John Mrema
 
Hahahahahahaha.

Suala Mbowe mbona liko wazi miaka mingi sana ni vile tu CDM walikuwa wabishi wakutotaka kuelewa.
Hili hata ZZK aliwasanua kipindi cha mgogoro wake akiwa ndani ya ZZK na kesi ya dumu la sumu la bwana Ben Sanane.
Tena ZZK alikwenda mbali mpaka kusanua kabla issue ya EL ya 2015 japo naye ZZK yuko kwenye the same payroll.

CDM ilishatekwa na malengo ya chama yalibadirishwa, bahati mbaya wengi hawakulijua wenyewe walikuwa busy wakiona CDM NI chama cha siasa, pole TL (Lissu) Kwa kutolijua hilo na kumuamini sana Chairman (hahahaha).
Malengo ya CDM yalikuwa mengine kabisa nje ya siasa, moja ya malengo yake hayajulikana na wengi, si ajabu hata Mnyika hajuia masikini.
Hata viti vingi vya CDM vya ubunge kipindi fulani ilikuwa ni zawadi tu kutoka kwa wahuni.

Ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Back
Top Bottom