Nasubiria video ya Ali Kiba niikosoe

Nasubiria video ya Ali Kiba niikosoe

Ehh the level of hate.....Is so real. Maana ushajiandaa kisaikolojia kwamba video itakuwa mbaya tu..
 
mkuu video n mbaya cjapata ona kafuta mashairi ya msanii wa nigeria M.I na kuweka yke ya kifaransa yaan n mbaya aiseee afadhali video ya darubini kali ya afande sele n nzuri
cc pwilo
Ametoa mistar ya MI[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja niitafute nione
 
aisee hyo level yako ya hating si ya kawaida..extraordinary
kipaji iko kifanyie kazi utafika mbali
 
Video ya Ali Kiba mpya sijaiona ila kwa kweli ni video mbaya mbaya sijapata kuona.

Ikitoka kazi yangu itakuwa ni kuikosoa tu.
Hao mnaowaita simba ni mapambo tu kwenye kiti cha mfalme-Ali Kiba
Nani kanuna
 
hahh...guyz video ya Aje ni nzuri... nzuri sana.
 
Back
Top Bottom