Naogopa hata kunyoosha kidole juu kuonesha uwepo wangu mana anaweza akaniangusha tena.
Ha ha ha jiandae kuangushwa hiyo ni kawaida mbonaNaogopa hata kunyoosha kidole juu kuonesha uwepo wangu mana anaweza akaniangusha tena.
Hao mnaowaita simba ni mapambo tu kwenye kiti cha mfalme-Ali KibaVideo ya Ali Kiba mpya sijaiona ila kwa kweli ni video mbaya mbaya sijapata kuona.
Ikitoka kazi yangu itakuwa ni kuikosoa tu.
Hivi wale Nsyuka wanahusiana na nini kwani?Safari hii kaja na Nsyuka kwenye video.
Hahahah.....aiseeSafari hii kaja na Nsyuka kwenye video.
Hahahaha haterHaijatoka bado mkuu tumeanza tu maandalizi ya kuiponda kidogo ila muziki kamili kesho.