Pole sana kutokana na maelezo yako una matatizo ya mambo ya kiswahili (Sayansi ya Giza) nitafute kwa wakati wako na pia unaweza kunitumia Email baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comHabari zenu wana JF,
Mimi tatizo langu ni hili nasumbuliwa sana na tumbo kushoto na kulia chini ya kitovu, then nina miaka mitatu ndani ya ndoa sijapata hata baby jamani.
Nilicheki utra sound nikaambiwa sina matatizo kwenye kizazi au mfumo wa uzaz mzima nipo okey. Sasa Sijajua kipi kinasababisha nisibebe ujauzito natamani sana mtoto jaman nisaidieni hata wanaojua tiba mbadala help me please.
Nakosa raha sometime sipati siku zangu miezi hata mitano
Habari yako bibie Prince?Pole dada, Ngoja nikuitie MziziMkavu, utafiti hawezi mambo haya
asante sana kwa kunitia moyo mico ipo sehemu gani hapa dar?
pole sana mumie nakushsauri kama uko dar muone Dr Ngarina hapo MNH ama [Prof. Kaisi] UKIENDA WODI ya akina mama mama hapo MNH ukiwaulizia hawa utapewa mawasiliano yao. hata Dr Kapona naye ni mzuri sana hebu watafute hawa mumie..........
@Nzuri sanaPole sana kutokana na maelezo yako una matatizo ya mambo ya kiswahili (Sayansi ya Giza) nitafute kwa wakati wako na pia unaweza kunitumia Email baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Habari yako bibie Prince?