Habari zenu wana JF,
Mimi tatizo langu ni hili nasumbuliwa sana na tumbo kushoto na kulia chini ya kitovu, then nina miaka mitatu ndani ya ndoa sijapata hata baby jamani.
Nilicheki utra sound nikaambiwa sina matatizo kwenye kizazi au mfumo wa uzaz mzima nipo okey. Sasa Sijajua kipi kinasababisha nisibebe ujauzito natamani sana mtoto jaman nisaidieni hata wanaojua tiba mbadala help me please.
Nakosa raha sometime sipati siku zangu miezi hata mitano