Nasumbuliwa kwenye Korodani, Nahitaji msaada

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,333
Reaction score
2,484
Heshima yenu wakubwa,

Ni week ya pili sasa nahisi maumivu kwenye Pum**** japo sio sana kwa mbali tu. Jana katika kujipapasa nahisi nina vigorori vitatu; kimoja kidogo viwili kawaida..

Je, hii inaweza kuwa tatizo kubwa?
 
Nashukuru mkuu nimepona nlikunywa dawa dose siku tano pills na sindano mbili
 
Siijui punyeto mkuu..kila siku dick ndan ya p**sy..sina wehu kama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…