New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
Heshima yenu wakubwa,
Ni week ya pili sasa nahisi maumivu kwenye Pum**** japo sio sana kwa mbali tu. Jana katika kujipapasa nahisi nina vigorori vitatu; kimoja kidogo viwili kawaida..
Je, hii inaweza kuwa tatizo kubwa?