Kwanini unajiita mkosefu? Huenda unakosa afya, unakosa tiba muafaka na vitu vingine vizuri sababu ya jina lakoMda mrefu nasumbuliwa na vinyamanyama vimefanya sehemu ya Siri bawasili watu wananiambia lakini nishatumia dawa nyingi bado cjafanikiwa naomba msaada wenu please
Usije ukachanganya vinyama vinavyo otea sehem ya siri, na linyama linalo toka (ning'inia) sehemu ya siri.Mda mrefu nasumbuliwa na vinyamanyama vimefanya sehemu ya Siri bawasili watu wananiambia lakini nishatumia dawa nyingi bado cjafanikiwa naomba msaada wenu please
Tumia sitcom tablet 1×2 kwa siku sabaMda mrefu nasumbuliwa na vinyamanyama vimefanya sehemu ya Siri bawasili watu wananiambia lakini nishatumia dawa nyingi bado cjafanikiwa naomba msaada wenu please
Mkuu bawasili huijui?Usije ukachanganya vinyama vinavyo otea sehem ya siri, na linyama linalo toka (ning'inia) sehem ya siri.
Bawasiri naijua na ilisha jadiliwa sana hapa ndani.Mkuu bawasili huijui?
Hospitalini itarudiNenda hospitali, sehemu ya siri ipi ? Vinyamavinyama vikoje ?
Basi huijui vizuri bawasiri. Bawasiri iko hivi kuna muda vinaota vinyama pembeni ya haja kubwa,vidogo vidogo kwa ukubwa wa punje ya harage.Bawasiri naijua na ilisha jadiliwa sana hapa ndani.
Lakini kwakua mleta mada ameanza kwa kuelezea (vinyama) ndipo nikawaza ije ikawa ni warts
Mkuu vinyama vinavyo ota pembeni ya tundu la haja kubwa....Basi huijui vizuri bawasiri. Bawasiri iko hivi kuna muda vinaota vinyama pembeni ya haja kubwa,vidogo vidogo kwa ukubwa wa punje ya harage.
Vinaweza vikawa viwili au vitatu. Na huwa inakuja na kupotea yenyewe muda mwingine. Na inaambatana na kuuma sana muda mwingine wakati wa haja kubwa. Kuna muda mwengine wakati wa kujisaidia inatoka na damu.
Ugonjwa huu unawaandamana sana wanaofanya mazoezi mazito naagumu,kama kunyanyua vitu vizito au hata push up tu.
Ni ugonjwa unawasumbua wengi hasa wanaofanya mazoezi mazito. Umeenea sana,na huwezi kupata tiba hospital. Zaidi zaidi hospital watakufanyia operation ndogo lakini kwa muda tena ugonjwa utakurudia. Nasikia wahadzabe tu ndio wanaweza kuutibu huu ugonjwa. (Wamasai siku hizi wameishiwa mbinu,wamebaki wapiga deal tu).
Yoyote mwenye kupata dawa ya kudumu tujulishane.
kwahyo hauna dawaBasi huijui vizuri bawasiri. Bawasiri iko hivi kuna muda vinaota vinyama pembeni ya haja kubwa,vidogo vidogo kwa ukubwa wa punje ya harage.
Vinaweza vikawa viwili au vitatu. Na huwa inakuja na kupotea yenyewe muda mwingine. Na inaambatana na kuuma sana muda mwingine wakati wa haja kubwa. Kuna muda mwengine wakati wa kujisaidia inatoka na damu.
Ugonjwa huu unawaandamana sana wanaofanya mazoezi mazito naagumu,kama kunyanyua vitu vizito au hata push up tu.
Ni ugonjwa unawasumbua wengi hasa wanaofanya mazoezi mazito. Umeenea sana,na huwezi kupata tiba hospital. Zaidi zaidi hospital watakufanyia operation ndogo lakini kwa muda tena ugonjwa utakurudia. Nasikia wahadzabe tu ndio wanaweza kuutibu huu ugonjwa. (Wamasai siku hizi wameishiwa mbinu,wamebaki wapiga deal tu).
Yoyote mwenye kupata dawa ya kudumu tujulishane.
Ulibadiilisha ulaji KIAJE....Fafanua Mkuu ... wengi wahanga humuMimi nishaumwa na kupona ugonjwa huu, na unatesa na kujisikia huna hamu ya kuishi..
Lakini nimepona baada ya kutumia dawa za asili nikionyeshwa mti nikanywa majani yake na mizizi.
Pia kubadilisha mfumo wa maisha wa ulaji ndo unapona kabisa, bawasili ni ugonjwa wa mgongo, hata godolo unalolalia huleta udhaifu wa mgongo na kusababisha bawasili..
Hivyo baada ya kuugua bawasili nikaanza kulala kwenye sehemu flat..unaweza kutandika godolo jembamba kama inch moja sakafuni, unapona kabisa tatizo hilo
Ni kwenye anus sehemu ya mzunguko na vinasogea mpaka kwenye shina la ubooUsije ukachanganya vinyama vinavyo otea sehem ya siri, na linyama linalo toka (ning'inia) sehemu ya siri.
Na hiyo sehem ya siri unayo isemea wewe ni ipi hasa(jinsia yako)?
Ukiweza kujibu hayo maswali bilashaka utakua umefanya wepesi kwa wajuvi wa mambo kutambua shida na kukusaidi.
Pole sana mkuu