Nasumbuliwa na bawasiri

Mazoezi tena??? Mazoezi yana faida nyingi unaanza kusema huo ugonjwa unawaandama wafanya mazoezi
 
Fanya hivi,,
Chukua dozi ya amoxilyn "kama nimekosea spelling mtanisamehe vareur ishashika kichwa" hii ni kwa ajili ya kukausha,, pia chukua dozi ya dicloffenac kwa ajili ya maumivu,, kisha chukua detto ya maji hii detto kwa siku mara 2 asubuhi na jioni changanya na maji kiasi kwenye dish kaa humo kwa ajili ya kuondoa ule muwasho,,
thank me latter,,
 
Kunywa maji mengi, mbogamboga jamii ya maharage, njegere, kunde nk,matunda yenye fibres kama machungwa bila kusahau papai na hakikisha wali uwe unaiva vizuri
 
Ni kwenye anus sehemu ya mzunguko na vinasogea mpaka kwenye shina la uboo
Hii ni warts bila shaka ungejipiga picha au google kitu kinaitwa genital warts ukiona vinafanania njoo nikuelekeze hapa au nitumie picha PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…