Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Nakupa dawa bure hapa siku mbili tu uje unipe mrejesho ni uhakika asilimia 90, tafuta jani la alovera jipake ile juice yake sehemu husika asubuhi na jioni siku mbili tu uje ushukuru hapa.
Mkuu haliwashi na pia kwa mjini ni ngumu kidogo kulipata
 
Back
Top Bottom