baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
Habari wakuu
Mim huwa naota ndoto nyingi ila hii yajuzi nimeona niitilie manani kidogo maana mpaka leo sijapata majibu
Mimi naishi hapa hom na mam lakn kwasas anaumwa umwa kdg,
mzee alishafariki na kuna kaka angu alifariki mda sana kabla hata mimi sijaanza shule nilikuwa mdogo ila nakumbuka msiba wake na kwasasa me nina miaka 25.
Ndoto [emoji116]
Leo nimeota ndoto kama vile tupo kwamganga au sheh kwasababu alikuwa amevaa vizuri tuh na tupo nyumban kwake mimi na mama, eety tunamtafuta mwanae huyo kaka yangu ambaye alifariki nikiwa mdogo kabla sijaanza hata kusoma kwmba amepotea miaka ming sana, sasa huyo mtu sijui akafanyaje akasema pigeni magot anakuja sasa hivi anafungua mlango atakuja kwa presha sana msiogope, kweli mlango ukafunguliwa akaingia kaka angu huyo akamsalmia yule yan sauti ile ile mwili ule ule kwasabu yeye mweupe kama mimi yan niyule yule kila kitu na msafi kabisa, mama alivyoskia sauti yake akaanza kulia kwa uchungu kweli kweli namimi nilianza kulia yan nililia kwa uchungu kuliko hata mama yan ndani yamoyo nalia kwa uchungu, akaja akanisalmia vipi mdogo mbona umenenepa hivo za siku nyingi yan umenena kweli hapo mimi bado nalia kwa uchungu sana, Sasa baada yamuda nikiwa pemben nimekaa yeye yupo na mama mama akawa amempa kama kitu cha kutafuna kama pipi sijui nini sasa jinsi alivyokuwa anakula ni kama mtu ambaye anamatitzo ya akili yani simuelew unjua watu wenye matatizo yakili anavyokula kama anatoa meno nje huku anakula mara anageuka geuka.
Naomba mnisaidie hapa hii ndoto imenipa mashaka kidogo maana mpk sasa sijapata majibu