Nasumbuliwa na hisia Kali za kila Mara yaani hamu za kufanya mapenzi

Nasumbuliwa na hisia Kali za kila Mara yaani hamu za kufanya mapenzi

Tatizo unawazo ngono mda wote mkuu hebu jaribu kuwaza mambo mengine uone kama hiyo hali haitaisha
 
Daaah kwel ukiwa umeshiba unapata hadiii muda wa mapenziii hongera sanaaa maana wazee wa bendera chuma mlingoti chuma hakuna ugaigaii hata huyo athumani kichwa wazi hasimamiii ww cha kukusaidia kakojoe pesa benki alafu usilipe marejesho alafu maliza pesa zote kwa kula bata baada ya pesa kuisha na hamu ya mapenzi kwishaaa kabisaaa
 
Back
Top Bottom