Daaah kwel ukiwa umeshiba unapata hadiii muda wa mapenziii hongera sanaaa maana wazee wa bendera chuma mlingoti chuma hakuna ugaigaii hata huyo athumani kichwa wazi hasimamiii ww cha kukusaidia kakojoe pesa benki alafu usilipe marejesho alafu maliza pesa zote kwa kula bata baada ya pesa kuisha na hamu ya mapenzi kwishaaa kabisaaa