Nasumbuliwa na kiuno. Naombeni msaada wenu

Nasumbuliwa na kiuno. Naombeni msaada wenu

m.agape

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
148
Reaction score
92
Nimehangaika sana, kiuno kinaniuma hata wakati mwingine siwezi kuinama, na kukaa inakuwa shida.
Madaktari wengine wananiambia ni nyonga imeshtuka, wengine damu chafu (ESR 30 MLS) dr mwingine anasema chango. Nimepewa dawa za u.t.i hazikusaidia.
Nimechoma sindano za POWERCEF, angalau sasa naweza kuinama na kukaa vizuri. Ila nikikaa kunyanyuka napata maumivu makali kiunoni.
Huu ni ugonjwa gani na una sababishwa na nini?
na vitu gani niviepuke ili niondokane na hili tatizo.
 
Back
Top Bottom