Hii mbona ni kama in-growing nail? Nilipata hili tatizo 1995 na sikufahamu tiba mpaka 1998 dr aliponi refer kwa chiropodist ambae alinifanyia upasuaji na kunionya niwe ninakata kucha na nail cutter tu.Here with the attached photo.
Yes itsHii mbona ni kama in-growing nail?
Kaka huwa nazikata maana zinaota kwa ndani hivyo napata maumivu makali sana.
Nikizikata maumivu hupungua.[/QUOTE
Nenda Muhimbili sijajua chiropodist Tanzania anapatikana wapi.
Tatizo hilo ni kweli ukizikata ndani zinachongoka na shida zaidi ukivaa viatu vya kufunika, na tyr inaonekana kuna infection. Mara nyingi huondolewa kwa upasuaji mdogo, ili ziote upya tena!Habari wana JF.
Naombeni ushauri ninatatizo la kucha za vidole gumba toka mwaka 2015 October.
Nimeshazunguka hospital nyingi hapa Dar es salaam na hata kufanyiwa upasuaji mdogo lakini tatizo limebaki pale pale.
Nilishsenda Hospital nikapima vipimo vyote ikiwemo na sukari lakini nikaonekana kutokua na tatizo lolote.
Napata tabu sana ndugu zangu naombeni ushauri nionane na Doctor yupi bingwa wa tatizo hili na yupo hospital gani.