Pole saa, na kwa kuwa unadai umehangaika sana, basi hata washauri wanatakiwa/tunatakiwa tufikiri zaidi kuliko Pole na experiences za kuugua!
Kwa kifupi tatizo lako ni la kitabibu, hasa unaweza kuwa na fangal infections, (unspecified!) Fangas wa kwenye kucha kitaalamu( onychomycosis)
Hushambulia zaidi vidole vya miguu kuliko mikono,la mkuu kama ilivo Kwako (Toenails)
Na kama ulisha pima na kugundua huna kisukali (Diabetes) na Magonjwa ya mishipa ya damu (peripheral arterial diseases) nakushauri utumie dawa hii tu kwanza [Griseofulvin tablets 500mg t.d.s kwa wiki mbili tu]
Tuanzie na hiyo kwanza,japo ziko nyingi sana then tutaona ,japo matibabu yko yanahushisha mambo mengi tu, si dawa peke ake!
Polee!