Emmathias kasema
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 123
- 104
Habari wanajamvi, nasumbuliwa na mabaka usoni yalisayosababishwa na chunusi, naomba ushauri nitumie njia gani au dawa gani ili niwe soft?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna face wash zinaitwa mentholatum,matoleo ya kwanza yalikuwa vizuri sana,matoleo ya sasa hivi quality kama imepungua hivi lakini jaribu..kama uko dar tembelea JD pharmacy..nunua hiyo face wash na scar remover
Scar remover Shilling ngapi mkuuKuna face wash zinaitwa mentholatum,matoleo ya kwanza yalikuwa vizuri sana,matoleo ya sasa hivi quality kama imepungua hivi lakini jaribu..kama uko dar tembelea JD pharmacy..nunua hiyo face wash na scar remover
Sidhani kama inazidi elfu nane..Scar remover Shilling ngapi mkuu
Poa sogea moshi Kilimani Pharmacy pale naamini pia utazikutaAsante Sana mkuu unfortunately sipo dar, nipo Kilimanjaro Ntajaribu kuulizia
Asante Sana mkuuPoa sogea moshi Kilimani Pharmacy pale naamini pia utazikuta