Nasumbuliwa na magonjwa ya ngono

Nasumbuliwa na magonjwa ya ngono

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Huwa napata tabu wakati wa kukojoa nimetumia dawa nyingi lakini wapi, km azuma ,cipro na metronidazole nisaidieni jamani nafwa.

Kwani nimetumia dawa nyingi kwakweli
 
huwa napata tabu wakati wa kukojoa nimetumia dawa nyingi lakini wapi,km azuma ,cipro,na metronidazole nisaidieni jamani nafwa.kwani nimetunmia dawa nyini kwakweli

Dawa yake ni kuacha ngono. Mchezo wa kujifanya nyuki utakumaliza. Maua, yanaua!

Je hizo dawa umeanza kutumia baada ya kwenda kwa daktari au ulijifanya mgonjwa ni mwenyewe na daktari mwenyewe?
Kama ulimwona daktari,rudi huko akubadilishie dawa. Pia upime na ukimwi.

Kama unataka tiba za asili/mitishamba (alternative cure) M-PM MziziMkavu.

Lakini unaweza kuanza "dose" mpya kwa kunywa huo mkojo wako, mkojo wa mwanzo unapoamka, unaugida(unaukinga kwenye kikombe au bakuli) na unaunywa, baada ya kuunywa hutakiwi kula kwa masaa 3. Fanya hivyo kwa siku 7.
 
huwa napata tabu wakati wa kukojoa nimetumia dawa nyingi lakini wapi,km azuma ,cipro,na metronidazole nisaidieni jamani nafwa.kwani nimetunmia dawa nyini kwakweli

Ili kupata tiba/dawa sahihi ni vyema kujua aina ya ugonjwa wako.
Hapa utaona kuna aina nyingi Sexually Transmitted Diseases (STDs) Causes, Symptoms, Treatment - Sexually Transmitted Diseases (STDs) Medical Treatment on eMedicineHealth

Kama hajafika kwa daktari/mganga itakupasa uende haraka. Ukifika useme, "nilifanya ngono zembe na sasa napata maumivu makali wakati wa kukojoa". Utachukuliwa vipimo kujua aina ya STD uliyoikwaa.

Ukizembea "silaha yako" inaweza kutoweka. Ajali kazini kaka, enenda kwa daktari mtaalamu upate kufanyiwa uchunguzi na kupewa dawa zitakazokuponya kama aina uliyoipata ya ugonjwa dawa yake imeshavumbuliwa.
 
Mmh kama ni akrekagonjwa chetu kakawah mpwa ajalikazini
 
Kiutaratibu,mgonjwa hawezi kulaumiwa kwa tatizo alilokuwa nalo.Wote tunaugua,nadhani hakuna atakayefurahi akiambiwa baadhi ya comments zilizotolewa hapo juu

Mkuu wangu usikate tamaa,tatizo lako mimi nahisi sio kubwa sana ila tu halijapata tiba sahihi.Nijuavyo mimi ni kuwa,katika mlolongo wa magonjwa ya zinaa,sidhani kama yanazidi matatu yanayosababisha mkojo kuuma(kwa mwanaume);nayo ni Chlamydia,Gono na Herpes Simplex(HS).Gono na Chlamydia yanatibika kiurahisi kabisa na HS ni self limiting,hata usipotumia dawa inapona yenyewe,.

Nionavyo mimi,wewe hujaenda hospitali ndugu yangu.Inawezekana wewe unaenda dukani,unasema una ugonjwa wa zinaa,wanakupatia Cipro,Metonidazole,Doxycycline,na sindano za Penador,halafu unakuja hapa unasema umetumia kila dawa! Sio kweli mkuu,dawa ni nyingi sana hujazimaliza.Nenda hospitali mkuu utasaidiwa..

Sio kila mtu mkojo unapouma atakuwa na ugonjwa wa zinaa.Kuna magonjwa/matatizo mengine(ambayo sio zinaa) yanayosababisa mkojo kuuma.Mimi nakushauri uachane na dawa za kujinunulia mwenyewe,nenda hospitali ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom